Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

Ukiwa na mausiano mazuri na jamii yako inatosha hayo mengine ni kiherehere ya hicho kipande cha nyama kinachodundaduna.
 
Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi.

Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo changamoto za kutengwa, changamoto za kuugua, changamoto za maeneo ya kazi n.k Lakini kitu kinachokuja kumpa faraja mwanadamu, ni mahusiano tu.

Ukiwa na mahusiano na mtu sahihi, muda wote utakuwa unafuraha ata kama unapitia changamoto mbalimbali za kidunia.

Kwa nyakati hizi, wanaume halisi wamekuwa ni wachache sana, na hii inathibitishwa kwa idadi kubwa ya wanawake kutokuolewa, wengine wamezaa na hawajaolewa, wengine wameolewa lakini hawaridhishwi n.k

Lakini mwisho wa siku, wote wanahitaji mahusiano.

Kwa kifupi naweza kusema; pigania mahusiano yako, huwezi kupingana na asili ya uumbaji.​
I wonder why love sucks nowdays kiukwweli Kuna watu tunajarbu na kuvumilia mengi Sana lakin wanaume wamekua washenzi sana mwanaume utamfanyia kila kitu bado aatakuzarau na kuona haufai Kuna mahusiano yanauma Sana na unajikuta huwezi kutoka Yani umezama mazima unabaki kuaibika tu na kuzaraulika😂😂
Nasemaaaaajeeeeeee Kuna watu Ayo mmbo tutakuja kuzikwa wazima wazima
Anyway being single is the worst then you see other people giving and loving each other aiseeee Ila ata Ivo mapenzi yanawatu wake 😂😂
 
Na ukimpata sahii unajikuta humpendi 😅💔 asokupenda Sasa unavomfeel
Hapo changamoto ni quality na princip zako ulizojiwekea you feelin' like the dude's not my type coz he got nothing special for u to appreciate. Unayempenda ndio ana hizo qualities zako unataka ila anayekupenda hana.
 
I wonder why love sucks nowdays kiukwweli Kuna watu tunajarbu na kuvumilia mengi Sana lakin wanaume wamekua washenzi sana mwanaume utamfanyia kila kitu bado aatakuzarau na kuona haufai Kuna mahusiano yanauma Sana na unajikuta huwezi kutoka Yani umezama mazima unabaki kuaibika tu na kuzaraulika😂😂
Nasemaaaaajeeeeeee Kuna watu Ayo mmbo tutakuja kuzikwa wazima wazima
Anyway being single is the worst then you see other people giving and loving each other aiseeee Ila ata Ivo mapenzi yanawatu wake 😂😂
🤣🤣🤣 Pole sana Kwa changamoto unazopitia! Nothing ever goes as planned in this accursed world. The longer you live, the more you realize that the only things that truly exist in this reality are merely pain. suffering and futility. Things goes against the odds Girl ukipenda usitegemee kupendwa, na ukipendwa jarbu ku adjust qualities zako.
Generally love is risk so bare the risk nakula utawala🤣🤣
 
Pambania mahusiano yako
Enheeee me nazani nibora upambane tu especially kwa mtu unaempenda iko siku atakuelewa
For example myself mahusiano yangu yoooooote nkaja kukutana na mtu mwaka Jana September
Hapo changamoto ni quality na princip zako ulizojiwekea you feelin' like the dude's not my type coz he got nothing special for u to appreciate. Unayempenda ndio ana hizo qualities zako unataka ila anayekupenda hana.
Maybe principle or so but u know sometimes sio kila mtu unaweza kumpea hisia......unjkuta u don't feeel attached to him ata akikua tajiri vp unjkuta ata kwa bed hufurahiii.....arf Kuna huyu mtu ako very interesting the way he dress,walk and darn it the way he hangs you in bed 😅🤗
 
🤣🤣🤣 Pole sana Kwa changamoto unazopitia! Nothing ever goes as planned in this accursed world. The longer you live, the more you realize that the only things that truly exist in this reality are merely pain. suffering and futility. Things goes against the odds Girl ukipenda usitegemee kupendwa, na ukipendwa jarbu ku adjust qualities zako.
Generally love is risk so bare the risk nakula utawala🤣🤣
😂😂😂 Mapenzi upuuzi tu
 
😂😂😂 Unkuta mtu anakupiga miti lkn uhisi chchte arf anakupenda uyo km karogwa Ila kwenye kupeana Sasa unijipigisha tu kelele amlize bhasy 😂😂🙏🏼🙏🏼💔
Anyway being in a relationship with someone who doesn't satisfy you niuongo Bora kukaa single tu na usingle nao unatia wendawazimu Bora umgande tu huyohuyo unaempenda
 
Enheeee me nazani nibora upambane tu especially kwa mtu unaempenda iko siku atakuelewa
For example myself mahusiano yangu yoooooote nkaja kukutana na mtu mwaka Jana September

Maybe principle or so but u know sometimes sio kila mtu unaweza kumpea hisia......unjkuta u don't feeel attached to him ata akikua tajiri vp unjkuta ata kwa bed hufurahiii.....arf Kuna huyu mtu ako very interesting the way he dress,walk and darn it the way he hangs you in bed 😅🤗
A dude with bold shape walking style, kwenye dressing sehemu ya casual anapiga casual sehemu ya sport anadress in sport mode na sehemu ya attire he dresses in attire! Ety miss 😅 unazungumzia kiumbe Cha hivi
 
😂😂😂 Unkuta mtu anakupiga miti lkn uhisi chchte arf anakupenda uyo km karogwa Ila kwenye kupeana Sasa unijipigisha tu kelele amlize bhasy 😂😂🙏🏼🙏🏼💔
Anyway being in a relationship with someone who doesn't satisfy you niuongo Bora kukaa single tu na usingle nao unatia wendawazimu Bora umgande tu huyohuyo unaempenda
Satisfaction kwenye upande upi labda tuanzie hapo shemeji
 
A dude with bold shape walking style, kwenye dressing sehemu ya casual anapiga casual sehemu ya sport anadress in sport mode na sehemu ya attire he dresses in attire! Ety miss 😅 unazungumzia kiumbe Cha hivi
Hapana bhna sio hivo mbona ata meno yameoza lkn unayaona kma zahabu😂😂😂
Wew hujanielewa mm nachomaanisha
 
Enheeee me nazani nibora upambane tu especially kwa mtu unaempenda iko siku atakuelewa
For example myself mahusiano yangu yoooooote nkaja kukutana na mtu mwaka Jana September
Ebu tupe uzoefu kidogo,
 
Back
Top Bottom