Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU, WAZAZI, NDUGU,MARAFIKI, MAJIRANI NDO FIRST CHOICE MIMI HAYO YA KIMAPENZI YAPO MWISHONI.... PESA INATOSHA, NIKIHITAJI AWEPO WA KU-HIT THEN KILA MMOJA ALE FIFTY ZAKE.
 
Hata sisi tunatamani kupigania hayo mahusiano
Sasa unakuta mwanamke mja ana watu 10 wote tukipigania hilo husiano itakuaje
Si tutauwana?
 
Kweli kabisa mkuu., kama ulivyosema kabla kipato hakijakaa sawa ni bora kuachana na mahusiano mpaka kipato kiwe sawa.. shida ni kwamba muda nao unasonga...
Na kipato kikishakaa sawa mnawa-ashraf Hakimi wanawake zenu, mnahis kila mdada anaewashobokea anamendea pesa zenu tu Mynd177
 
Ukikosea kupata mtu sahihi, lazima uvurugike kwenye mahusiano na kujikita kwenye utafutaji zaidi.
Haukosei wewe kumbuka nothing in this universe exactly 0% or 100%. Everything is around 0.000000000000000001% to 99.999999999999999999% in life ie life is probability nothing sure.
Maisha tunabeti baada ya kuwa tumefanya analysis tumejiridhisha kuwa kila kitu kipo POA kabisa.

Unafungua biashara huendi kichwa kichwa, unaenda kazi mpya ofisi fulani,unataka kulima lazima ucheki weather na soko, unaenda nchi fulani ngeni lazima ujue ikoje watu wake,unataka kuoa unachunguza odds zikoje zitazo favor your side.
So smt odds ziko kwako 99.999% Ila event or outcome inatokea tail instead of the head uliyobeti.
Sometime odds ziko unfavorable to your side like 0.000000000000001% Ila still event or outcome inatokea according to your expectations even though probability of it happening was very low according to your analysis.

Huyu mchezaji wa morroco Mali akaandika mamaye amecheza na probability,Kuna eboue nadhAni odds zilipnyesha kuwa Ni sure thing Ila still outcome akatolewa Mali zote.

So event inapokuja upande wako sio kuwa Ni kwa akili zako ama uwezo wako ndio umefanya iyo outcome ije according to your expectations Bali ilikuwa itokee ivyo.
 
Kweli mkuu umelezea kitu kikubwa yan ukichek maisha yetu ulipanga ili linakuja ili..
 
Jitahidi kwanza usiwe na njaa; angalau uwe na uhakika wa kupata 30 kwa siku, mahusiano yataanza yenyewe kukutafuta kuliko wewe kuyatafuta.
30K kwa siku ila mitandaoni bana, 30K kwasiku nadhani ni 90% ya watu wote hawatokuwa na mahusiano

Mtandaoni munaoandikaga illusion sana
 
So event inapokuja upande wako sio kuwa Ni kwa akili zako ama uwezo wako ndio umefanya iyo outcome ije according to your expectations Bali ilikuwa itokee ivyo.

Kweli mkuu umelezea kitu kikubwa yan ukichek maisha yetu ulipanga ili linakuja ili..
Yes,wapo wajanja mno wanajua Mambo mengi mno,wanasoma mno,wanafanya kazi mno wanajinyima Ila hata kiwanja hawana,wapo wanaohonga,wanafanya Mambo kimzahazaha Ila wanatoboa.

Sasa ujue maisha Ni game na hapa njoo ucheki maana game ndio ujue

A game is an activity or sport usually involving SKILL, KNOWLEDGE, or CHANCE, in which you follow fixed rules and try to win against an opponent or to solve a puzzle.

So na bahati huwa ipo kwenye success.
Wengi wanaangukiaga kwenye nyekundu hapo so wanachezea bahati na hairudi Tena wanabakia kujutia.

Ila skills unabeti mfano unarusha mpira wa kikapu like 100 unafaulu 60 Ila 40 unapoteza.

Mfano Kobe ama Jordan enzi zao wanacheza mpira mkicheza ama mkarusha mipira 10 wewe mgeni kabisa waweza kupata 6/10 Jordan/Kobe akapata 4/10 so ukawavimbia yaani ukatuna kifua mbele kuwa wewe Ni Bora zaidi Ila Sasa kwa vile wao Wana skills wewe hunazo mkirusha mipira 1000 kikapuni ndio utajua Kama hujui ,kiburi chako na matambo na video uliSombaza kwa mademu zako na washkaji wengine unajiona kidume kisa kumfunga legendary utaulizwa kuwa ivi ilikuwaje Sasa mbona siku zile uliahinda mipira mingi kuliko wao.

Hata karata ama poker iko ivyo ,wapo wanaocheza wanameki mane sema waweza kuwala shortly Ila in long run utakuwa tu yaani utaliwa tu Hakuna namna.

Ama predator anaweza akabahatishwa na prey ie nyumbu anaweza muua Simba Ila ukiweka game kwa muda mrefu nyumbu watauliwa wengi Mana wao Ni bahati Ila simba Anazo skills za kuua wao nyumbu hawana hizo skills pia hata Kama wanazo hawazifanyii mazoezi everyday to be part of their DNA.
Hapo chini Kuna diagram inaelezea chance/lucky and skills/knowledge.
Screenshot_20220828-165917.png

Screenshot_20220828-170224.png
lucky huwa inatokea once not many times.
Hapa kwenye lucky ndio gamblers wanaobeti wanaishi kwa njia iyo.
Unaweza ukapata kazi kilaza kabisa ukamuacha jamaa genius anayeogopwa. Wapo wengi maishani wanatembelewa na bahati ,wa mataifa watamuita anayo nyota Kali ,wale waaminio dini za kuletwa na meli wataita wenye upako,roho mtakatifu,Allah akbar akamuonyeshea njia.
Sie tunaoamini dini zetu za kiafrika tunasema mizimu ya mababu wa mababu wamechinjiwa damu sadaka imetolewa wamemkubali.

Thank you
 
Attachments

  • Screenshot_20220828-165711.png
    Screenshot_20220828-165711.png
    9.2 KB · Views: 2
Kama unamaanisha mahusiano ya kwenye ndoa rasmi nitakubaliana na wewe. Lakini kama ni mahusiano nje ya ndoa huo ni uzinzi na uasherati!! Biblia inasema hakuna amani kwa wabaya!!
Sasa ndugu yangu dunia ya sasa unaweza tu kumkokota mtu akuoe au uoe bila kujenga mahusiano nae kwanza na kuchunguzana kiasi cha kujiridhisha...ebu tuache theory jamani,dunia ya wenzetu wa kale sio ya sasa
 
kuchunguzana kiasi cha kujiridhisha.
Huwezi atafeki muda huo hata Kuna michepuko inawekwa pembeni.wana fake mie nashauri oa mtu unayejua Koo yake yote,hapo probability kwako Ni kubwa ku win ingawa still anything can happen.
Sasa chunguzaneni walioanza kwenda kanisani na kuimba kwaya
 
Back
Top Bottom