Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Kitambo sana hali kama hiyo ilinikuta alinifungia vitu vyangu ndani, sema nlikuwa nakaa kibaharia.

Ndani kulikuwa na kitanda na begi la nguo, pport

Ahh usiku mnene nlimtafuta mzee mmja tukafungua na funguo mly nkachukua vyangu
Nkapoteaaa

Ova
 
Pole sana, Maisha haya tunapitia mengi sana.

Kuwa muwazi Kiongozi.

Je hukuwa unampiga kalenda?

Kwa mfano keshokutwa, wiki ijayo, baada ya wiki mbili, mpaka kufikia mwenye nyumba wako kukuchoka kwa ahadi zako usizozitimiza.

Uamuzi wa hivyo siyo wa siku moja, itakuwa alikuvumilia sana mpaka kufikia uvumilivu kumshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…