Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Hadi mwenye nyumba anafikia hatua hiyo kuna shida upande wako
 
Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.

Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
Ndo ukome kupanga panga hovyo Jenga kwako acha kudandia nyumba za wanaume wenzio
 
Nyumba za kupangisha kuna majaribu kotekote.
Mara mia ujenge lodge, nilimpangisha mtu nyumba tena kwa bei sawa na bure, nyumba self, parking, maji, umeme, ina kuta hadi banda la mbwa la kisasa kwa bei ndogo sana kwani alilia kiwa korona imemuharibia uchumi, kama mwanaume nikamwelewa mwanaume mwenzangu.
Cha kushangaza mkataba ulipokaribia kuisha aliondoka bila kuniaga alihama usiku.
Majirani walinipigia simu kuwa wamehama na wameacha taa zinawaka usiku na mchana.
Baada ya siku 3 nikampigia hapokei wala hajibu sms.
Nilifanya kuingia kwa kuruka ukuta.
Ndani nilikuta uharibifu mkubwa sana wa zaidi ya 500,000 kurekebisha.

Nimeapa sitafanya tena ujinga huu wa kupsngisha bora ufanye lodge.

Wapangaji vichaa sana.. mzaz wangu alikuwa na nyumba ubungo msewe. Wapangaj wakawa wanamsumbua sana kodi.. nikamwambia awatoe wote. Nyumba tuibadili style tuifanye hostel ya wanachuo.. hapo stress zikapungua..

Wapangaji wengi wasumbufu sana
 
Biashara kichaa sana hiyo
 
Nakumbuka ilinitokea 2016 nilikuwa sipokei simu ya mama mwenye nyumba yangu nilijua kabisa anadai kodi akaniacha ujumbe nimfuate nyumbani kwake siendi.Siku narudi usiku saa 5 watu wote wamelala nakuta kufuli.Nikawaza naanzaje kulala nje sijawahi kulala nje.Nilichofanya nikavunja kufuli nikaingia ndani nikalala saw kumi na moja ahsubuhi nikachomoka bila mbwiga yeyote kuniona nikachukua kufuli langu linalofanana na alilofunga mama mwenye nyumba nikalifunga pale nikasepa baadae ndio nikamtafuta tuyajenge akanielewa akanipa funguo za kufuli alilolifunga ambalo nililivunja pasipo yeye kujua
 
Halafu kuna mwenye nyumba anamlazimisha rafiki yangu kulipa miezi 3 walati jamaa ana plan kuhama na anamaliza mwezi.Amempelekea kodi ya mwezi et mzee anakataa anataka miezi 3 hata kama anahama.Hii ni sawa et jamani?Ina maana huyu mzee hata uungwana hana?Ana bahati sio mie huyu mzee wallah!
 
Huyo jamaa naye akilipa atakuwa faller
 
Mmh,Kuna kisa kila nikikumbukaga nacheka tu mwenyewe mbaya zaidi nje ya bongo.
Ila mnigeria Marcelo baba mwenye nyumba wangu unisamehe.
Pole Sana chief ndiyo ukubwa.
 
Nyumba zangu nimeamua luwapangisha wanawake sihitaji mwanaume kabisa plus mashrti nafuu ingiza hata wanaume 100 kwa siku ila ukizidisha siku mbili za kodi nakataa umeme kukumbusha kuwa ulipo si kwako ni kwa mtu nje na geti kila mpangaji ana ufunguo natoa taarifa kwa wote kuwa wewe si mpangaji nikifunga geti saa moja usiku kumfumgulia huyo mwingine imekula kwako stakagi utani ns nyjmba yangu hata kidogo Nmb wananichinja 450k kila mwezi wewe unaleta utani bora nifugie kuku.
 
kuna mpangaji namdai milioni hadi sshv..alikuwa mlipaji mzuri ila baadae akakwama.
nimemuhurumia sbb ht mi ni mpangaji huku mjini na huwa sumtimes napokea kodi kule kwenye nyumba ya urithi halafu nalipia huku!!

ananikwamisha sana sshv nadaiwa pia mwezi wa 3 umepita sijalipa!mwenyenyumba wangu ni mtu poa na wala haniulizi zaidi ya mimi kujishtukia!!
yule mpangaji wangu nikimdai badala apunguze hata deni ananiomba tena nimsaidie laki5 azimue biashara yake imedoda!!nikimwangalia ana wake 2 na watoto km 8 hivi!!kuna muda madalali wananipigia kuulizia nyumba nawajibu imepangishwa!

yaani sijui cha kufanya nimeishiwa mbinu ya kumchomoa huyu MGOSI
 
Halafu kuna mwenye nyumba anamlazimisha rafiki yangu kulipa miezi 3 walati jamaa ana plan kuhama na anamaliza mwezi.Amempelekea kodi ya mwezi et mzee anakataa anataka miezi 3 hata kama anahama.Hii ni sawa et jamani?Ina maana huyu mzee hata uungwana hana?Ana bahati sio mie huyu mzee wallah!
Huyo mzee nchawi
 
Huyo nzee nchawi
 
Back
Top Bottom