Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Basi tatizo sio mwenye nyumba
Shida iko kwako kwa kuona kufikisha iyo pesa ni ndoto.

uko radhi kua online kila siku lakini sio kutumia kila siku KuSave na upate uhakika wa malazi.

unless Kama uliandika Kama kichekesho tu!
Huyu mpangaji wangu ananunua smart , gesi , lakini Kodi ataki kulipa nami nimfukuze ,
 
Huyu mpangaji wangu ananunua smart , gesi , lakini Kodi ataki kulipa nami nimfukuze ,
Kama wewe ni mfanya biashara na unajua misingi yake.
Huwezi poteza faida Au mtaji kwasababu ya tatizo binafsi la mtu.

Na sababu kubwa kupoteza mwelekeo wa biashara ni kuweka huruma ndani yake.

ulitafuta mtaji ukawekeza
Kwa lengo la kupata faida ya kurudisha ulichogharamia.

kununua chochote ni mamuzi ya mtu binafsi.

WHEN IT COMES TO MY RENT!
MUST BE PAID ON TIME
PERIOD.

mkataba uko wazi.
Usipolipa in certain time
You have extra window time to fix it
Otherwise I kick off your butt off my property.

simple.

ndo mana wengine wanasemaga matajiri wana roho ngumu sana.

hapana, wanajua gharama.
 
Kuna mmoja Mimi namdai Kodi ya miezi sita laki 6, ilikuwa laki nane kapunguza imebakia hiyo,
Yaan namfikiria simpatatii jibu,kingine tumetoka mbali, tangu mwaka 2019 yupo hapo kwenye banda langu, sometimes Ni hasara nyumba za kupangisha
Mimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.
Ni kijana ana heshima sana.
 
kipindi kile Cha Corona ya awali kabisa, wapangaji na wenye nyumba za kupangisha walikuwa kwenye Hali mbaya sana
 
Mimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.
Ni kijana ana heshima sana.
Kwani makubaliano yalikuaje?
msaada Au biashara!?

unajua hapa ndo sijapaelewa!
Ukiajiriwa na hujapata mshahara kwa miezi na boss ni “mtu wako wa siku nyingi”
Utavumilia!?

najaribu kutafuta uelewa kwenye hili.
Naona Kama kuna undugu na ujamaa unaingia kwenye biashara hapa!

unless hutegemei kipato cha iyo nyumba Kama ulivyokusudia.

what’s the point of all this!?!?!?!??!!?
 
Mtengenezee kesi akulipe mzee

usiwe legelege kama nyanya mbovu

Kesi inahitaji hela kuiendesha, halafu kesi hizi zinaanziaga kwenye serikali ya mtaa na pia wanaangaliaga logic behind, kuna mwamba alidai kafungiwa vitu na kulikuwa na 600,000 yake ndani wakati anadaiwa 180,000 na alivumiliwa miezi 6 na wakaibuka wengine wanaomdai hapo serikali ya mtaa mwisho wa siku kesi ikawa kubwa kwake yuko Segedansi.
 
Kama wewe ni mfanya biashara na unajua misingi yake.
Huwezi poteza faida Au mtaji kwasababu ya tatizo binafsi la mtu.

Na sababu kubwa kupoteza mwelekeo wa biashara ni kuweka huruma ndani yake.

ulitafuta mtaji ukawekeza
Kwa lengo la kupata faida ya kurudisha ulichogharamia.

kununua chochote ni mamuzi ya mtu binafsi.

WHEN IT COMES TO MY RENT!
MUST BE PAID ON TIME
PERIOD.

mkataba uko wazi.
Usipolipa in certain time
You have extra window time to fix it
Otherwise I kick off your butt off my property.

simple.

ndo mana wengine wanasemaga matajiri wana roho ngumu sana.

hapana, wanajua gharama.
kuna maisha nje ya hela mkuu.

uwekezaji wa nyumba za kupanga haumfai mtu anayeitizama kama sehemu kuu ya kujiingizia kipato. otherways ziwe nyingi,na zikiishakuwa nyingi tayari huwezi shindwa mvumilia mpangaji na mashida yake.
 
Mimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.
Ni kijana ana heshima sana.
fanya kwa ajiri ya Mungu wako mkuu sio yeye.
 
kuna maisha nje ya hela mkuu.

uwekezaji wa nyumba za kupanga haumfai mtu anayeitizama kama sehemu kuu ya kujiingizia kipato. otherways ziwe nyingi,na zikiishakuwa nyingi tayari huwezi shindwa mvumilia mpangaji na mashida yake.
Hii ni biashara?
 
Kwani makubaliano yalikuaje?
msaada Au biashara!?

unajua hapa ndo sijapaelewa!
Ukiajiriwa na hujapata mshahara kwa miezi na boss ni “mtu wako wa siku nyingi”
Utavumilia!?

najaribu kutafuta uelewa kwenye hili.
Naona Kama kuna undugu na ujamaa unaingia kwenye biashara hapa!

unless hutegemei kipato cha iyo nyumba Kama ulivyokusudia.

what’s the point of all this!?!?!?!??!!?
Hapo juu wanalaumiwa wenye nyumba, nami nikasema wenye nyumba ni wavumilivu kama kutakuwa na mahusiano na mawasiliano mazuri baina yao.
Nyumba za kupangisha zinachukuliwa kama huduma ambayo haipo rasmi kwenye biashara ndiyo maana mwenye nyumba anabanwa sana na sheria kuliko mpangaji.
Tukisema wenye nyumba tukaze kwenye kudai kodi kiukweli hali itakuwa mbaya sana kuliko idhaniwavyo.
 
Hii ni biashara?
Na ndio maana kuna open window kuhakikisha umelipa

unapewa mwezi mzima kutafuta iyo kodi.
Na mpaka ukakaa hapo from the beginning uliona unaweza kumudu.

kama kweli unataka kua mfanya biashara na upige hatua huwezi vumilia over a month or 2 kwasababu ya Utu.

naweza nikaeleweka vibaya lakini ndio ukweli.
 
Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.

Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
Viweke rehani njoo ujiunge nasi tudai katiba.
 
Hela ya bundle kwa simu yako unayo ila kodi ya nyumba hutaki kulipa. Hauko serious.
Vijana mnaokaa kwa shemeji zenu mna Raha Sana.

Hujui kwa elfu 2 unapata bando ila umewahi kusikia chumba Cha elfu 2.

Halafu sio kila anaeingia JF anatumia bando wengine wanaingia bure kwa kutumia free basic
 
Back
Top Bottom