Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

Kitambo sana hali kama hiyo ilinikuta alinifungia vitu vyangu ndani, sema nlikuwa nakaa kibaharia.

Ndani kulikuwa na kitanda na begi la nguo, pport

Ahh usiku mnene nlimtafuta mzee mmja tukafungua na funguo mly nkachukua vyangu
Nkapoteaaa

Ova
We kweli mafya mzee[emoji4][emoji4]
 
Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.

Hapa nataka niende kwa kiongnozi wa mtaa.
Mtengenezee kesi akulipe mzee

usiwe legelege kama nyanya mbovu
 
Amekupa machungu so ukiyatumia vizuri ni mtaji mkubwa.
Ila pole kwa mapito. Everything in our life is temporary so that's why we shouldn't be attached to any situation that happen in our life
 
Kitambo sana hali kama hiyo ilinikuta alinifungia vitu vyangu ndani, sema nlikuwa nakaa kibaharia.

Ndani kulikuwa na kitanda na begi la nguo, pport

Ahh usiku mnene nlimtafuta mzee mmja tukafungua na funguo mly nkachukua vyangu
Nkapoteaaa

Ova
Ulicheza kama pele
 
Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.

Hapa nataka niende kwa kiongnozi wa mtaa.

Sasa hapo mkuu mwenye makosa ni nan!!??shida wapangaji mnakuwaga sio wa kwel ndugu yangu km pesa hakuna na mkataba wako umeisha kuwa muwaz na sio kuchenga chenga utakuta hapo umelimbikiza unadaiwa zaid hata ya miez 2+....ila yote ya yote pole sana
 
Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.

Hapa nataka niende kwa kiongnozi wa mtaa.
Pole sana mkuu...lakini jaribu pia kumuelewa mwenye nyumba huenda na yeye "amepigika" na huenda alikuvumilia sana, na hakuwa na namna nyingine....pambana tu....
 
Biashara ya nyumba za kupanga ni ukichaa fulani hivi.Bora ujenge nyumba za wageni hamtakwaruzana maana kila mtu atafuata mkataba.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nyumba za kupangisha kuna majaribu kotekote.
Mara mia ujenge lodge, nilimpangisha mtu nyumba tena kwa bei sawa na bure, nyumba self, parking, maji, umeme, ina kuta hadi banda la mbwa la kisasa kwa bei ndogo sana kwani alilia kiwa korona imemuharibia uchumi, kama mwanaume nikamwelewa mwanaume mwenzangu.
Cha kushangaza mkataba ulipokaribia kuisha aliondoka bila kuniaga alihama usiku.
Majirani walinipigia simu kuwa wamehama na wameacha taa zinawaka usiku na mchana.
Baada ya siku 3 nikampigia hapokei wala hajibu sms.
Nilifanya kuingia kwa kuruka ukuta.
Ndani nilikuta uharibifu mkubwa sana wa zaidi ya 500,000 kurekebisha.

Nimeapa sitafanya tena ujinga huu wa kupsngisha bora ufanye lodge.
 
Amekupa machungu so ukiyatumia vizuri ni mtaji mkubwa.
Ila pole kwa mapito. Everything in our life is temporary so that's why we shouldn't be attached to any situation that happen in our life
Vitu kama hivi ukivitumia vizuri ni muda wako kutoka kimaisha.
 
Back
Top Bottom