Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Huyu mpangaji wangu ananunua smart , gesi , lakini Kodi ataki kulipa nami nimfukuze ,Basi tatizo sio mwenye nyumba
Shida iko kwako kwa kuona kufikisha iyo pesa ni ndoto.
uko radhi kua online kila siku lakini sio kutumia kila siku KuSave na upate uhakika wa malazi.
unless Kama uliandika Kama kichekesho tu!
Kama wewe ni mfanya biashara na unajua misingi yake.Huyu mpangaji wangu ananunua smart , gesi , lakini Kodi ataki kulipa nami nimfukuze ,
Huo ndio uanaume tafuta pesaNimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.
Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
Mimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.Kuna mmoja Mimi namdai Kodi ya miezi sita laki 6, ilikuwa laki nane kapunguza imebakia hiyo,
Yaan namfikiria simpatatii jibu,kingine tumetoka mbali, tangu mwaka 2019 yupo hapo kwenye banda langu, sometimes Ni hasara nyumba za kupangisha
kipindi kile Cha Corona ya awali kabisa, wapangaji na wenye nyumba za kupangisha walikuwa kwenye Hali mbaya sanaMimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.
Ni kijana ana heshima sana.
Weka namba utumiwe na ya kutolea.Noma sana aisee!Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.
Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
Kwani makubaliano yalikuaje?Mimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.
Ni kijana ana heshima sana.
Kila la kheri wakati hana hela?Mh! Duh! Aisee! Pole! Kila la heri!
Mtengenezee kesi akulipe mzee
usiwe legelege kama nyanya mbovu
kuna maisha nje ya hela mkuu.Kama wewe ni mfanya biashara na unajua misingi yake.
Huwezi poteza faida Au mtaji kwasababu ya tatizo binafsi la mtu.
Na sababu kubwa kupoteza mwelekeo wa biashara ni kuweka huruma ndani yake.
ulitafuta mtaji ukawekeza
Kwa lengo la kupata faida ya kurudisha ulichogharamia.
kununua chochote ni mamuzi ya mtu binafsi.
WHEN IT COMES TO MY RENT!
MUST BE PAID ON TIME
PERIOD.
mkataba uko wazi.
Usipolipa in certain time
You have extra window time to fix it
Otherwise I kick off your butt off my property.
simple.
ndo mana wengine wanasemaga matajiri wana roho ngumu sana.
hapana, wanajua gharama.
fanya kwa ajiri ya Mungu wako mkuu sio yeye.Mimi nina kijana nimeanza nae May2018, japo ni mwajiriwa lakini mambo hayamuendei vizuri,hajawahi jieleza magumu yake, mimi kama mzazi nilimchunguza nikajiridhisha,kodi ya mwisho iliisha mwezi March mwaka huu, sijawahi kumsumbua.
Ni kijana ana heshima sana.
Hii ni biashara?kuna maisha nje ya hela mkuu.
uwekezaji wa nyumba za kupanga haumfai mtu anayeitizama kama sehemu kuu ya kujiingizia kipato. otherways ziwe nyingi,na zikiishakuwa nyingi tayari huwezi shindwa mvumilia mpangaji na mashida yake.
sio biashara hiyo. ni kuibadirishia pesa makazi tu.Hii ni biashara?
Hapo juu wanalaumiwa wenye nyumba, nami nikasema wenye nyumba ni wavumilivu kama kutakuwa na mahusiano na mawasiliano mazuri baina yao.Kwani makubaliano yalikuaje?
msaada Au biashara!?
unajua hapa ndo sijapaelewa!
Ukiajiriwa na hujapata mshahara kwa miezi na boss ni “mtu wako wa siku nyingi”
Utavumilia!?
najaribu kutafuta uelewa kwenye hili.
Naona Kama kuna undugu na ujamaa unaingia kwenye biashara hapa!
unless hutegemei kipato cha iyo nyumba Kama ulivyokusudia.
what’s the point of all this!?!?!?!??!!?
Na ndio maana kuna open window kuhakikisha umelipaHii ni biashara?
Hakika mkuu,lakini ndio tunashambuliwa na wale wapiga kalenda tukikumbushia "chetu"fanya kwa ajiri ya Mungu wako mkuu sio yeye.
Viweke rehani njoo ujiunge nasi tudai katiba.Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.
Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
Vijana mnaokaa kwa shemeji zenu mna Raha Sana.Hela ya bundle kwa simu yako unayo ila kodi ya nyumba hutaki kulipa. Hauko serious.