Hayo mambo yaliyotokea enzi za ujana si ndio uhuni wenyewe! Hayo mapungufu imekuwaje mpaka baba wa mtoto hakuweza kuvumilia mpaka kumuacha tena akiwa na mtoto wake? Kama muoaji naye ni mhuni hapo sawa,Wamekutana.Ndiyo maana wanasema kila chochote hakikosi kasoro/mapungufu mkuu, muhimu angalia kama hiyo kasoro/pungufu unaweza kulivumilia endelea. Kuwa single maza haimaanishi huyo dada hajitambui/mhuni basi tu mambo yalitokea enzi za ujana. Anaweza kuwa wife material tu
Mm huwa nachunguza upande wa pili. Story za mdomoni zinaweza kuwa twisted.Tafiti kwa makini wanawake wa design hiyo..ukitaka ujue ukweli tafuta ukweli pande zote mbili..Hakuna mwanaume makini anayeacha mwanamke mzuri ,anayemheshimu etc.Tatizo huwa tunasikia upande mmoja unaweza kuta mwanamke analalamika past relationship Hadi kulia kumbe uongo..Sikatai wanaume wapo wenye mapungufu makubwa Hadi mahusiano kuvunjika lakini wanawake wengi its worse
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sifa zote kama zipi? Wenye akili kubwa wamechezea wakaona hafai/mgawaji a.k.a chama la wana.Wajinga wanaona mmeokota dodo!Siwezi kuacha kumuoa iwapo anasifa zote, kuwa single mother sio kikwazo kwa wanaume wote wenye akili kubwa
Achana na single mama hawafai. Nachukia sana kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu. Bora ukute mume kafa ila kama yupo hai utatoo mbewa tu. Achana na Singo mama kuna wasichana wadogo tu.Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai[emoji2][emoji2]
Kuna muda mpaka unatamani ubebe kimya kimya tu, ila ukitafakari zaidi unaona ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
Hakuna mwanamke mwenye hiyo jeuri kwa baba wa mtoto wake! Mwanamke mpaka kufikia kuzaa na mwanaume maana yake ameshamjua pamoja na udhaifu wake na alishakuwa tayari kuishi naye! Ukiona wameachana basi ujue mwamuzi ni mwanaume.Ndiyo maana siku yoyote baba mtoto akitaka tunda anapewa! Kwa kuwa tayari mwanamke alishajisalimisha kwake!Na je kama huyo Mwanaume ndio ameachwa na alikuwa ndio mwenye shida?
Bado unamlaumu Mwanamke aliyeamua kuishi maisha yake baada ya kuchoka kero?
Jumatatu naomba ukamuulize Mahita maswali matano nakupa ofa. Umetoa statement ya maana sana. Halafu toto kama sio lako hayana adabu kbs. Mimi nachukia sana kulea shahawa ya mtu mwingine.Hakuna mwanamke mwenye hiyo jeuri kwa baba wa mtoto wake! Mwanamke mpaka kufikia kuzaa na mwanaume maana yake ameshamjua pamoja na udhaifu wake na alishakuwa tayari kuishi naye! Ukiona wameachana basi ujue mwamuzi ni mwanaume.Ndiyo maana siku yoyote baba mtoto akitaka tunda anapewa! Kwa kuwa tayari mwanamke alishajisalimisha kwake!
Tena akafie hasa mbaliMtombe mara mbili tatu afu mpotezeee akafie mbele huko.
Aseee[emoji849][emoji849]Mtombe tu ukishamchoka mnakuwa marafiki mapenzi akaendeleze na aliyemzalisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli dawa Ni kumuua..tofauti na kumuua..utajutaSolution hapo ni kwenda kumuua huyo mzazi mwenzake
Haikuhusu mkuuVipi na wewe ni single mother?
Usimpotoshe mwenzako,we hujiulizi kwa nn baba wa mtoto kamshindwa?Acha fikra potofu kuwa single mother haimuondolei kuwa mke bora, kwamba wewe ma ex wako wote huwa unapasha kiporo Kama ni mwanamke mzuri umeona anakufaa oa kaka usimfikirie kasumba unaweza ukaoa ambaye hajazaa na akazingua vilevile