Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Nimezaa na Mwanamke Mzuri Mrembo kwa sasa anaishi na mume wake ila mwanangu nilimuacha kwa Bibi yake yani mama angu kila shule zikifungwa huja kumuona akitoka huko hupitia mkoa niliopo na mimi naaga kwa wife, Tunachukua lodge kama siku mbili tunakumbushia enzi izo, Yote yote kwa yote Muogope mwanamke alie amua Kubeba mimba kuacha kuitoa mpaka akazaa na kulea huyo lazima amempenda alie mzalisha ndio mana kambebea mimba
 
Una akili za kiutu uzima wewe I love you ❤️
 
Mkuu hapa nimekuelewa sana..
 
Nimekuelewa mnoooo
 
Hakuna mwanaume anayejielewa akaacha mwanamke mwenye heshima, mwenye upendo, mnyenyekevu... hakuna!

Ukiona hivyo jua kuna upande hauko sawa, either upande wa mwanamke au huyo mwanaume ana shida zake.
 
Kuna wanawake wakisha haribu ndio akili huwarudi.
Kwa hiyo usishangae ukiweza kufumba macho wee fumba.(si unajua ile una kiu halafu maji yamebaki ya mwishoni kwenye ndoo inavyokuwaga)😀
 
Hakuna mwanaume anayejielewa akaacha mwanamke mwenye heshima, mwenye upendo, mnyenyekevu... hakuna!

Ukiona hivyo jua kuna upande hauko sawa, either upande wa mwanamke au huyo mwanaume ana shida zake.
Na hakuna mwanamke karne hii ya 21 akawa na hivyo vyote ulivyoorodhesha!

Labda kama umeandika kufurahisha genge tu, NDOA ni gereza lenye kero kuliko hata Guantanamo!
 
Hakuna mwanaume anaweza kuacha mwanamke wife Material...

90% Walifanya ujinga, na Sasa ndo wanatafuta anayevaa Suruali yoyote.

Kweli kabisa me mwenyewe nimeish na mwanamke ambae alikua ametoka kwenye ndoa yake na tiali alikua ameshazaa nauyo mwanaume alie funga nae ndoa kiukweli kadili siku nilivyo kuwa nae ndo nilianza kujua yuko vipi
 
Ni kweli lakini lazima ulizike nae kwanza
 
Lakin nilishawai kuishi Zanzibar nikishangaa wa vijana wa kule Zanzibar wao wanao wanawake walio zalishwa na kuachwa yan wenyewe hawa ogopi Yan mwanamke ata hawe amezalishwa watoto wa 5 wenyewe Wana muoa Tu.
 
WATU wa pande hizo hawajielewi
 
KAMA ANA SIFA UNAZOZITAKA WW , KWANINI UMWACHE ??

FANYA KITU ROHO YAKO INAPENDA.
 
We love those who we don't deserve and we can't have them.
Inauma kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…