Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

Hizo Biblia zote zimeandikwa na binadamu kama wewe ndio maana kuna version za kuanzia Rome mpaka American, hadithi zote za kutunga na zimewekwa na binadamu kama wewe, hata babu yako angekuwa na uwezo angeweza kuandika bible yake na leo ikaonekana ndio neno la mungu, miaka 500 ijayo inawezekana kabisa ikaja bible nyingine iliyondikwa na mtu mwenye nguvu, amini tuu na wala hakuna makosa lakini za kupewa changanya na zako
Bibilia imetiwa mkono wa binadamu. Yesu hakushushiwa bibilia. Sasa kwanini wakristo wanatumia bibilia
 
Hofu ni kitu kibaya sana....

Katika safari ya kujitambua mwanadamu hufikia kumjua Mwenyezi Mungu vyema kwa kuwa yupo.....

Kumjua Mwenyezi Mungu ni kumpenda yeye tu na wala si kwa sababu ya kuugopa moto ama kuogopa kuukosa ufalme wa mbingu(levels hizi hufikia wale wenye busara tu)....

Na ndio maana akina Rabia Basra walimuabudu Mungu kwa misimamo hiyo....na hawakuwa na "MBANGO" wala kuuishi ujinga wa wapuuzi wachache walio wanadini wenzao......
 
Kanisa ni mimi na wewe kuna matukio mengi hayako sawa
Sasa unavocriticise usichanganye kati ya mfumo na matakwa ya watu. Nakumpa mfano mdogo science ni one of the best thing happen to a man after religion. Ila kupitia science hyo hyo kuna mambo yamefanyika ya kutisha moja wapo vita inayoendelea ukraine au pia corona na mambo kadha wa kadha lakini mbona hamuipondi science ila mnawaponda watu ila mtu akitumua dini kwa manufaa yake binafsi mnaponda dini that's unfair. Unatakiwa ulete kifungu kinachofirisi watu kwenye maandiko utaeleweka.
 
Hofu ni kitu kibaya sana....

Katika safari ya kujitambua mwanadamu hufikia kumjua Mwenyezi Mungu vyema kwa kuwa yupo.....

Kumjua Mwenyezi Mungu ni kumpenda yeye tu na wala si kwa sababu ya kuugopa moto ama kuogopa kuukosa ufalme wa mbingu(levels hizi hufikia wale wenye busara tu)....

Na ndio maana akina Rabia Basra walimuabudu Mungu kwa misimamo hiyo....na hawakuwa na "MBANGO" wala kuuishi ujinga wa wapuuzi wachache walio wanadini wenzao......

Source: ??? Au umejitungia tu. Utampendaje Mungu bila ya kumtii na kuachana na makatazo yake. Au unaleta double standards hapa
 
Sasa unavocriticise usichanganye kati ya mfumo na matakwa ya watu. Nakumpa mfano mdogo science ni one of the best thing happen to a man after religion. Ila kupitia science hyo hyo kuna mambo yamefanyika ya kutisha moja wapo vita inayoendelea ukraine au pia corona na mambo kadha wa kadha lakini mbona hamuipondi science ila mnawaponda watu ila mtu akitumua dini kwa manufaa yake binafsi mnaponda dini that's unfair. Unatakiwa ulete kifungu kinachofirisi watu kwenye maandiko utaeleweka.
Vifungu vinakusaidia nini vifungu vinakufanya usiamshe ubongo waKo kufikiri zaidi
 
Bibilia imetiwa mkono wa binadamu. Yesu hakushushiwa bibilia. Sasa kwanini wakristo wanatumia bibilia
Mkuu kwani BIBLIA ni nini?!!!

Ni mkusanyiko wa vitabu....je vitabu gani ?!!!

Vitabu vyenyewe vimeanishwa.....

Kwani mtume Muhammad SAW alishushiwa kitabu ama maneno ?!!!!

Ni kweli kuna utofauti kiasi kati ya maneno ya vitabu hivyo viwili(Quran na Biblia)....Quran ilishushwa na aliyeshushiwa akaifundisha kama yalivyo sawia maneno aliyoshushiwa....kwa upande wa BIBLIA....yako maandishi mengi yaliandikwa miaka mingi baada ya Yesu A.S kuondoka duniani....yako yaliyoandikwa na wanafunzi wake....yako yaliyoandikwa na watu wengine na ikasemwa ni maandiko ya wanafunzi wake.....swali la kutafakari ni je kuna uhakika gani kuwa kila andiko linatoka moja kwa moja kwa mwalimu ?!!!!

Je kumepatikana historia sahihi ya kusemwa kuwa wanafunzi wake walikuwa wanaandika katika magome ama "vitambaa" kila lililonenwa na mwalimu wao Jesus?!!!

Hapa ndipo fikra chanya na upembuzi hutakikana....
 
Kwani malaika gibril nd alieandika quran mnayotumia leo mkuu?
Qur'an imeshushwa kwa njia ya mdomo. Mtume naye aliwafikishia wafuasi wake kwa njia ya mdomo. Qur'an ilianza kuhifadhiwa mioyoni mwa wafuasi mpaka hapo baadae ilipokusanywa kwa maandishi. Ndo mana mpaka leo licha ya Qur'an kuwepo kwa njia ya maandishi bado watu wanaitunza mioyoni mwao ndo mana ni ngumu sana kuibadilisha Qur'an
 
Sasa unavocriticise usichanganye kati ya mfumo na matakwa ya watu. Nakumpa mfano mdogo science ni one of the best thing happen to a man after religion. Ila kupitia science hyo hyo kuna mambo yamefanyika ya kutisha moja wapo vita inayoendelea ukraine au pia corona na mambo kadha wa kadha lakini mbona hamuipondi science ila mnawaponda watu ila mtu akitumua dini kwa manufaa yake binafsi mnaponda dini that's unfair. Unatakiwa ulete kifungu kinachofirisi watu kwenye maandiko utaeleweka.
[emoji106]
 
Vifungu vinakusaidia nini vifungu vinakufanya usiamshe ubongo waKo kufikiri zaidi
Elezea ni kwa namna gani vifungu vinafanya mtu asiamshe ubongo. Maan bible inasema asiefanya kazi asile lete vinavyofanya mtu asijishughulishe. Halafu wewe unahisi watu wa dini hawajafanya mapinduzi ya technolojia sababu hujasikia wakizungumziwa katika bible maisha yao ya kawaida yalikuwaje na umekuwa brainwashed na hao wanaoandikwa maforbes lakini hujui katika safari zao wamepata maarifa kutoka kwa watu hata wa dini mbali mbali.
 
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo.

1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa Wayahudi waliishi maisha mazuri sana wakati wa mfalme Daudi. Anadai kuwa baadaye mambo yalivyokuwa magumu, wakitekwa na kufanywa watumwa huku na kule na wababiloni na waajemi wakaanza kukumbuka enzi za Daudi. Mwishowe wakaanza kuota kuwa kuna mzao wa daudi atakuja na kurudisha neema ya wakati wa Daudi. Ndiyo huyo wakamwita Messiah. Chanzo ni ugumu wa maisha na kukumbuka enzi za Daudi.

2. Musa mwenyewe utaona kuwa alianzisha dini baada ya kuona mateso wanayopitia Waebrania kule Misri.

3. Mababu zetu walianzisha dini ili kuiomba mizimu wakati wa njaa, magonjwa na vita.

4. Kuna wakati wahindi wekundu walikuwa wanasakamwa sana na wazungu huko Marekani. wWalikuwa wamenyang;anywa ardhi yote nzuri. Wamewekwa kwenye maeneo makame na hawatakiwi kutoka huko. Na wakipigwa vita na kuuwawa kama wanyama. Akatokea mhindi mmoja akasema kuwa ametokewa na Yesu. Akadai kuwa Yesu huyo ni mhindi na ameahidi kuja kuwakomboa wahindi kutokana na mateso. Wanachotakiwa ni wacheze dansi bila kupumzika. Ikawa hivyo, watu wakaanza kucheza dansi mfululizo hadi pale serikali ya wazungu ilipoingilia kati kikatili.

5. Nilikuwa namsoma Malcom X. Dini yao ya Nation Of Islam ilianzishwa kutokana na maisha magumu waliyokuwa wanapitia watu weusi wa Marekani. Dini hiyo inasema kuwa Mtu mweupe ndiye shetani. Kwamba alizalishwa miaka elfu sita iliyopita. Na kuwa baada ya miaka elfu sita watu weusi ambao ndiyo watu asilia watarudia utukufu wao. Ni ugumu wa maisha uliozaa dini hii.

6. Budhha mwenyewe alianzisha dini yake baada ya kuoana mateso wanayopitia watu.

7. Dini nyingi zinazoanzishwa leo na wakina Gwajima, Mwamposa, Mzee wa Upako nk, zinaanzishwa sababu ya maisha magumu. Sehemu kubwa zinahubiri utajiri, uponyaji, na mafanikio kwa ujumla. Ugumu wa maisha ndizo zimefanya uwepo. Watu wakienda huko wanapata ndoto zao za mchana na kuepuka matatizo yao kwa muda.

Sababu nyingine kubwa ya kuanzisha dini ni ya kisiasa. Dini kama Ukatoliki na Uislamu n i kwa ajili ya watu kujipatia nguvu za kisiasa. Hata mifarakano kwenye dini hizi. Mfano kutokea kwa kanisa la Orthodox, Anglicana nk, ni sababu za kisiasa. Kutokea kwa Usunni na Ushia ni sababu za kisiasa.

Dini nyingi ni uzushi.
Nini maana ya neno "dini"?
 
Qur'an imeshushwa kwa njia ya mdomo. Mtume naye aliwafikishia wafuasi wake kwa njia ya mdomo. Qur'an ilianza kuhifadhiwa mioyoni mwa wafuasi mpaka hapo baadae ilipokusanywa kwa maandishi. Ndo mana mpaka leo licha ya Qur'an kuwepo kwa njia ya maandishi bado watu wanaitunza mioyoni mwao ndo mana ni ngumu sana kuibadilisha Qur'an
Sasa hicho ulichotaja na bible tofauti yake nini? Unadhan manabii hekima walikuwa wanatoa wapi mpaka wanawafundisha watu? Halafu unatak Yesu ashushiwe wakati anayajua yote.
 
Tafiti imefanyika na kuthibitisha kuwa toka ishushwe haijabadilishwa....kupunguzwa....wala kuongezwa aya zake...

Hii inatokana na KUHIFADHI lugha iliyoshushiwa....Kiarabu....ni tofauti na vitabu vyengine vya dini.....kuwekuwa na mabadiliko ya aya kutokana na KUTAFSIRI katika lugha zisizo "mama".....
 
Mkuu kwani BIBLIA ni nini?!!!

Ni mkusanyiko wa vitabu....je vitabu gani ?!!!

Vitabu vyenyewe vimeanishwa.....

Kwani mtume Muhammad SAW alishushiwa kitabu ama maneno ?!!!!

Ni kweli kuna utofauti kiasi kati ya maneno ya vitabu hivyo viwili(Quran na Biblia)....Quran ilishushwa na aliyeshushiwa akaifundisha kama yalivyo sawia maneno aliyoshushiwa....kwa upande wa BIBLIA....yako maandishi mengi yaliandikwa miaka mingi baada ya Yesu A.S kuondoka duniani....yako yaliyoandikwa na wanafunzi wake....yako yaliyoandikwa na watu wengine na ikasemwa ni maandiko ya wanafunzi wake.....swali la kutafakari ni je kuna uhakika gani kuwa kila andiko linatoka moja kwa moja kwa mwalimu ?!!!!

Je kumepatikana historia sahihi ya kusemwa kuwa wanafunzi wake walikuwa wanaandika katika magome ama "vitambaa" kila lililonenwa na mwalimu wao Jesus?!!!

Hapa ndipo fikra chanya na upembuzi hutakikana....
Yesu alishushiwa Injili (Gospel). Walivyokuja akina John, Mathew na Luke kila mmoja wao akaja na version yake ya Injili. Bible ni mchanganyiko wa Injili ya John, Mathew, Luke na vitabu vingine na ndio maana inakasoro nyingi na umefanyika uchakachuani mwingi. Bibilia yenyewe haijawahi kuwa stable inabadilika badilika.

Qur'an imeshushwa kwa njia ya mdomo. Mtume naye aliwafikishia wafuasi wake kwa njia ya mdomo. Qur'an ilianza kuhifadhiwa mioyoni mwa wafuasi mpaka hapo baadae ilipokusanywa kwa maandishi. Ndo mana mpaka leo licha ya Qur'an kuwepo kwa njia ya maandishi bado watu wanaitunza mioyoni mwao ndo mana ni ngumu sana kuibadilisha Qur'an
 
Sasa hicho ulichotaja na bible tofauti yake nini? Unadhan manabii hekima walikuwa wanatoa wapi mpaka wanawafundisha watu? Halafu unatak Yesu ashushiwe wakati anayajua yote.
Umeusoma ukristo? Yesu alishushiwa injili na sio bibilia. Na bibilia haijahusisha injili aliyopewa Yesu bali imehusishwa injili ya John, Mathew na Luke
 
Sasa hicho ulichotaja na bible tofauti yake nini? Unadhan manabii hekima walikuwa wanatoa wapi mpaka wanawafundisha watu? Halafu unatak Yesu ashushiwe wakati anayajua yote.
Hapa uliposema Yesu anayajua yote ndipo watu hufikia kupingana[emoji1787][emoji1787]

Kwa imani yako ni kweli Yesu hwenda anayajua yote kwani ni MUNGU.....

Ila ndani ya Biblia anasema "haijui saa ya kiama"....je kutoijua saa ya kiama hakumpunguzii sifa ya kuyajua yote?!!!
 
Bible haijaandikwa kama gazeti la mwanahalisi ni mafundisho ya jinsi mwanadamu mkamilifu anatakiwa aishi. Kuna mambo Yesu aliyasema kama mwanadamu kama lengo lake la kuja duniani so inabidi uelew muktadha. Lakini kuna mambo aliyasema kama Mungu usichanganye hapo.
 
Elezea ni kwa namna gani vifungu vinafanya mtu asiamshe ubongo. Maan bible inasema asiefanya kazi asile lete vinavyofanya mtu asijishughulishe. Halafu wewe unahisi watu wa dini hawajafanya mapinduzi ya technolojia sababu hujasikia wakizungumziwa katika bible maisha yao ya kawaida yalikuwaje na umekuwa brainwashed na hao wanaoandikwa maforbes lakini hujui katika safari zao wamepata maarifa kutoka kwa watu hata wa dini mbali mbali.
Namshukuru Mungu kwakila jambo na amenipa uwezo mzuri wa kufikiri hapa nilipo naandika kitabu cha ujasirimali ambacho kimesheni vitu vingi nipo jf kwa muda kuchangamusha akili
 
Umeusoma ukristo? Yesu alishushiwa injili na sio bibilia
Sahihi.....

Ikiwa AGANO LA KALE linawahusu Wayahudi na dini yao inakuwaje Yesu ambaye ni "mkristo" kujinasibisha na AGANO LA KALE?!!

Na kama AGANO LA KALE linamhusu ni vipi atokee mwenye kumuamini alipinge?!!!

Na kama akilipinga inakuwaje asiwe myahudi ?!!!

Je dini ya kiyahudi imekuja kufutwa na Yesu ilihali alisema" sijakuja kutangua taurati"....ina maana taurati inaishi na itaendelea kuishi....je kwenda kinyume na maneno hayo si kumpinga Yesu?!!!

Je taurati inaruhusu Yehova kuwa wa utatu ?!!!.
 
Back
Top Bottom