Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

Bible haijaandikwa kama gazeti la mwanahalisi ni mafundisho ya jinsi mwanadamu mkamilifu anatakiwa aishi. Kuna mambo Yesu aliyasema kama mwanadamu kama lengo lake la kuja duniani so inabidi uelew muktadha. Lakini kuna mambo aliyasema kama Mungu usichanganye hapo.
Unamjua aliyeandika bibilia? Je alipata wapi hayo maandiko mpaka akaiandika bibilia. Nijibu nikupe mwangaza
 
Bible haijaandikwa kama gazeti la mwanahalisi ni mafundisho ya jinsi mwanadamu mkamilifu anatakiwa aishi. Kuna mambo Yesu aliyasema kama mwanadamu kama lengo lake la kuja duniani so inabidi uelew muktadha. Lakini kuna mambo aliyasema kama Mungu usichanganye hapo.
Ni kweli kwa baadhi uliyoyasema hapo juu.....

Unajua ni lini utatu kama imani ulianza katika mafundisho ?!!!
 
Hakuandika mtu mmoja na hata waandishi halisi hakuwa mtu mmoja.
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.

Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
 
Ni kweli kwa baadhi uliyoyasema hapo juu.....

Unajua ni lini utatu kama imani ulianza katika mafundisho ?!!!
Bible ni context na sio majina. Kutokea mwanzo mpaka ufunuo zinatajwa nafsi tatu za Mungu. Na utendaji wa binadamu wenyewe tu una nafsi tatu na sisi ni mifano ya Mungu. So unaposema ulianzishwa unakuwa hujaeleweka ndugu.
 
Source: ??? Au umejitungia tu. Utampendaje Mungu bila ya kumtii na kuachana na makatazo yake. Au unaleta double standards hapa
"source" katika nini ?!!!

Have you overlooked my statements?!!!

Kwani unaweza kumpenda Mungu bila "right guidance"?!!!

Sikusema Rabia Basra alikuwa Agnostic....hebu msome kwanza halafu tuendelee na mtiririko wa kisomi.....
 
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.

Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Na Muhammad aliposema kuwa mwezi unazama topeni nayo ni kweli?
 
Vifungu vinakusaidia nini vifungu vinakufanya usiamshe ubongo waKo kufikiri zaidi
Mkuu lakini vifungu ndiyo "foundation ya dini"....ni sawa na vifungu vya katiba ya nchi....yupi awezaye kutaka kuchambua sheria za nchi akaitupa mgongoni katiba?!!!

Nakubaliana nawe kuwa AKILI iko juu ya kila kitu....na katika dini....akili inahitajika kuhoji.....majibu huwa HAYAJIFICHI[emoji106]
 
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.

Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua.
 
Bible ni context na sio majina. Kutokea mwanzo mpaka ufunuo zinatajwa nafsi tatu za Mungu. Na utendaji wa binadamu wenyewe tu una nafsi tatu na sisi ni mifano ya Mungu. So unaposema ulianzishwa unakuwa hujaeleweka ndugu.
Sawa.....

Mwanzo mpaka ufunuo unawahusu pia wayahudi....katika HEBREW BIBLE pia yapo....je wayahudi wanaamini nafsi 3 za Mungu ?!!!

Kama hawaamini...ina maana wayahudi hawakukielewa kitabu chao zaidi yako wewe na wagiriki?!!!

Ina maana akina Joshua walikufa bila kuelewa kuwa Mungu aliwaeleza kuhusu nafsi zake 3?!!!

Ina maana wayahudi wa leo(wajinga na wasomi wao) bado hawaelewi kabisa maandiko yao yenye kuzitaja hizo nafsi 3 ?!!!
 
Mungu ni mmoja tu hakuna cha nafsi tatu acha kumshirikisha Mwenyezi Mungu unakufuru
 
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua.
Sawa na kwanini bible iseme dunia ni flat. Ambapo quran inasema dunia ni duara.

Book of Daniel, Chapter No.4, Verse No.10 and 11. It says… "In a dream, that the tree grew up into the heaven, and there when the tree grew up into the heaven, it grew up so much, that every one from all the ends of the earth, they could see the tree" This is only possible, if the shape of the earth was flat.
 
Sidhani kama unajua unachokiandika hapa.

Uislam hauna walaji hilo la kwanza. Waislam hawalazimishwi kutoa sadaka msikitini na hata wakitoa hakuna pesa inayopatikana itakayomfanya mtu aneemeke bali ni vipesa tu vya kuendesha msikiti ndo mana mashekhe hawatembelei mabenzi kama wachungaji wanavyowakamua kondoo.

Kwenda kuhiji makka sio amri ya lazima. Bali ni nguzo muhimu ya dini inayoweza kutekelezwa na mtu mwenye uwezo wa kwenda kuhiji. Kama huna uwezo haikulazimu uende.

Nakushauri tu kabla ya kuuponda uislam, jaribu kuusoma kwanza mafundisho yake na jinsi unavyo operate ndio uje kuongea hapa sio unasambaza taarifa zisizo na ukweli
Kama utasoma mawazo yako bila makengeza na unazi, utagundua unapopotea. Unaposema hija siyo lazima lakini ni nguzo ya uislam, unamaanisha nini? Ni daraja gani linaweza kusimama bila nguzo mojawapo? Naona umeamua kutetea ujinga na udini uchwara. Hakuna dini unayoweza kuitetea. Uislam aka uarabu hauna tofauti na ukristo. Ungejua uislam umekopi na kupaste toka ukristo wala usingeandika uliyoandika. Angalia hata hiyo kuran. Kila kitu ni biblia isipokuwa ngano na visa vya muhammad. Kwa taarifa yako nimeuosoma hata saa nyingine kuliko wewe. Nimesoma hadi ilm ghaib na vitabu vyake vingi. Ukiulinganisha uislam na ukristo ni ndugu wa baba na mama mmoja. Ndiyo maana waislam wanaambiwa walio karibu nao sana ni wakristo. Umekopi kila kitu cha ukristo. Angalia ukoloni wa kupandikiza watu majina ya kigeni au kung'ang'ania lugha za kigeni. Wakristo mwanzoni walikuwa kama nyinyi. Kila kitu kilipaswa kuwa kwenye kilatini ili kuendelea kuwafanya waumini wajinga na mbumbumbu. Wote wana asilil moja, mashariki ya kati na wote ni waarabu. Wanaongea lugha moja. Hebu jiulize tofauti ya Shalom na Assalaam alaykum. Wote wana sehemu moja takatifu yaani Jerusalem ambako eti muhammad alitokea kwenda mbinguni wakati alikuwa hajawahi hata kufika kule. Wote wana historia za ugaidi. Wote ni wauaji. Walimuua Yesu huku waislam wakiuana wao kwa wao bila kusahau mauaji ya Sayddina Ali mkwe wa mtume wenu. Wote ni waongo na wabaguzi dhidi ya waafrika. Nenda mikoa ya Pwani uone wanavyooa mabinti wa kiafrika na wakizaa mabinti wanawakimbizia mashariki ya kati kuwa watumwa na vyangudoa. Tafuta nani wa kwanza kufanya ugaidi duniani kama siyo wao. Nakushauri jisomee japo kidogo ili uweze kutoa hoja.
 
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.

Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua
Sawa.....

Mwanzo mpaka ufunuo unawahusu pia wayahudi....katika HEBREW BIBLE pia yapo....je wayahudi wanaamini nafsi 3 za Mungu ?!!!

Kama hawaamini...ina maana wayahudi hawakukielewa kitabu chao zaidi yako wewe na wagiriki?!!!

Ina maana akina Joshua walikufa bila kuelewa kuwa Mungu aliwaeleza kuhusu nafsi zake 3?!!!

Ina maana wayahudi wa leo(wajinga na wasomi wao) bado hawaelewi kabisa maandiko yao yenye kuzitaja hizo nafsi 3 ?!!!
Exactly. Na ndo maan Yesu alivokuwa akizungimza nao kwenye masinagogi yao hawakumuelewa mpaka wakaja kumsulubu. Na sio kwamba hawaelewi ila ego iliwaponza sababu Yesu alizaliwa masikini na wayahudi walijitengezea false idols matajri wa wakati huo so hata mwana wa Mungu walitaka awe tajiri kweli kweli.
 
Sawa na kwanini bible iseme dunia ni flat. Ambapo quran inasema dunia ni duara
Mbona kuna vifungu vingi vimeonesha quran nd ina assume kuwa dunia ni flat. Tena kuna sehem inachanganya inasema alitangulia kuumba mbingu ikaja dunia na kuna sehem inasema ilitangulia dunia ikaja mbingu.
 
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua.
Kisomi kabisa....

Pumzi gani unayoizungumzia?!!!

Pumzi roho ?!!!

Ama pumzi hewa?!!!

Kama ni pumzi hewa ni lazima iwe na utaratibu...mapafu yanahusika....[emoji1787]

Kwa hiyo aya ya kuhusu mwezi unajitengenezea mwanga wake tusichukue maelezo yalivyo bali mantiki ?!!!

Hapa ndipo tatizo lilipo....kutafsiri maandiko kwa kutumia lugha nyingine huweza kuondoa maana ya neno "mama"....hwenda BIBLIA ya kiyahudi(Hebrew Bible) ikawa na maana tofauti kilugha na maana usemayo mkuu wangu [emoji1787]
 
Back
Top Bottom