Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

Well ...

Wayahudi walifanya kusanyiko na kuamua uamuzi kuwa Yesu aadhibiwe kwa kupotosha imani ?!!!

Ama ni wayahudi wachache ?!!

Kama ni wayahudi wachache kwanini walaumiwe wote na dini yao ?!!!

Je una ushahidi kuwa KUHANI mkuu wa SINAGOGI ndiye aliyepeleka kesi kwa Herode/Pilato?!!!

Na kama si yeye...je kuna ushahidi kuwa yeye aliwatuma watumishi wa sinagogi kufanya hayo?!!!
Yesu hakuhubiri sinagogi moja alitembea Israel yote kuhubiri habari njema za ufalme. So shauri hilo lilitoka kwa makuhani wakuu waliokuwa viongozi wa juu kabisa katika uyahudi ni kama ilivo labda papa hivi. Hatuwalaumu wayahudi wote sababu Yesu na wanafunzi wake asilimia kubwa walikuwa wayahudi ila wakaongoka kupitia Yesu kristo na hata leo wapo wayahudi ni wakristo wa imani kweli kweli.
 
Well....

Kupika pakua(chakula) ni lazima kuhusishe kukutana kimwili ?!![emoji1787]

Hebu nitosheleze....una rejea kabisa inayosema alianza kuishi naye "kimwili" kabla ya kuvunja ungo?!!!
Imeandikwa kuwa huyo mke alipendelea kuchezea midori na watoto wenzie pia na hata nyumbani kwa Muhammad. Lakini pia hapo walipokuwa wanaoga ni nyumbani kwa muhammad hivo alikuwa tayari mke na mme.
 
Yesu hakuhubiri sinagogi moja alitembea Israel yote kuhubiri habari njema za ufalme. So shauri hilo lilitoka kwa makuhani wakuu waliokuwa viongozi wa juu kabisa katika uyahudi ni kama ilivo labda papa hivi. Hatuwalaumu wayahudi wote sababu Yesu na wanafunzi wake asilimia kubwa walikuwa wayahudi ila wakaongoka kupitia Yesu kristo na hata leo wapo wayahudi ni wakristo wa imani kweli kweli.
Ooo sawa....

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa si uongozi wa mwisho wa wayahudi uliamua kwenda kumsemea kwa Pilato....hapa ninamanisha kuwa UYAHUDI ni DINI ya dola....kama kungekuwa na kitisho dhidi ya imani yao....ni lazima kungekuwa na maamuzi ya KIAKIDI dhidi ya "uasi wa kiimani"....naendelea kuchunguza je KUHANI MKUU(high priest of the Jews) alihusika?!!!

Kumbuka kulikuwa na SINAGOGI kubwa kabisa(hapo ndipo Makazi ya kuhani mkuu)....
 
Imeandikwa kuwa huyo mke alipendelea kuchezea midori na watoto wenzie pia na hata nyumbani kwa Muhammad. Lakini pia hapo walipokuwa wanaoga ni nyumbani kwa muhammad hivo alikuwa tayari mke na mme.
Sijakataa kuwa hawakuwa mke na mume...kwani mkataba wa ndoa ulishapita.....[emoji1787]

Kukaa ndani ya nyumba si hoja ya kukutana kimwili....si hoja kwani wanaweza kuwa walikuwa vyumba tofauti wakati wa kulala....ili iwe hoja hebu kwanza tupate UTHIBITISHO kuwa alikutana naye kimwili kabla ya kuvunja ungo....
 
Sababu kubwa ni kutaka kuwatawala na kuwala wajinga kwa kuwakamua kiuchumi. Kimsingi, dini ndiye baba wa siasa japo siasa baadaye ilizipiga teke na kuchukua usukani. Ni aina fulani ya utawala unaowaneemesha wachache kwa kuwatumiwa walio wengi. Nimpenda. hitimisho lako kuwa ni uzushi. Hivyo, umeuliza na kujibu swali lako mwenyewe
Dini ni Mungu kutawala walio wengi wakati siasa ni kikundi cha wachache kutawala walio wengi

Mungu ana wafuasi wengi loyal kwake kuliko wanasiasa au wanasayansi au wanafalsafa
Wanafalsafa kama mleta mada miaka nenda Rudi wanehangaika kupata wafuasi wengi wa falsafa zao wameishia kuambulia mapadri wa katoliki na watu wachache sana waliosoma falsafa seminary au vyuo vya kawaida au walioasi dini au baadhi ya wakatoliki washika ukatoloki sana ambao kidogo wana uhueni wa maisha

Pili mtu kutoamini dini yeyote pia ni ugonjwa wa akili hakuna mtu.ambaye haamini dini yeyote.au haamini uwepo wa Mungu.mwenye akili iliyotulia na peace of mind wengi wao akili ni kama hazimo ni nusu vi kuanzia walioanzisha ukomunisti wanafalsafa wasema hakuna Mungu,au dini ni.opium of the People walioasi dini na kuacha wengi akili zao nusu kaputi
Peace of mind iko.zero

Na huwa na dalili zote za ukichaa
 
Hata kuamini katika dini tena za kikoloni zinazokudhalilisha wewe na mila zako na kuwajengea chuki dhidi ya wengine ni wendawazimu mbali na kuwa ugaidi.
 
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo.

1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa Wayahudi waliishi maisha mazuri sana wakati wa mfalme Daudi. Anadai kuwa baadaye mambo yalivyokuwa magumu, wakitekwa na kufanywa watumwa huku na kule na wababiloni na waajemi wakaanza kukumbuka enzi za Daudi. Mwishowe wakaanza kuota kuwa kuna mzao wa daudi atakuja na kurudisha neema ya wakati wa Daudi. Ndiyo huyo wakamwita Messiah. Chanzo ni ugumu wa maisha na kukumbuka enzi za Daudi.

2. Musa mwenyewe utaona kuwa alianzisha dini baada ya kuona mateso wanayopitia Waebrania kule Misri.

3. Mababu zetu walianzisha dini ili kuiomba mizimu wakati wa njaa, magonjwa na vita.

4. Kuna wakati wahindi wekundu walikuwa wanasakamwa sana na wazungu huko Marekani. wWalikuwa wamenyang;anywa ardhi yote nzuri. Wamewekwa kwenye maeneo makame na hawatakiwi kutoka huko. Na wakipigwa vita na kuuwawa kama wanyama. Akatokea mhindi mmoja akasema kuwa ametokewa na Yesu. Akadai kuwa Yesu huyo ni mhindi na ameahidi kuja kuwakomboa wahindi kutokana na mateso. Wanachotakiwa ni wacheze dansi bila kupumzika. Ikawa hivyo, watu wakaanza kucheza dansi mfululizo hadi pale serikali ya wazungu ilipoingilia kati kikatili.

5. Nilikuwa namsoma Malcom X. Dini yao ya Nation Of Islam ilianzishwa kutokana na maisha magumu waliyokuwa wanapitia watu weusi wa Marekani. Dini hiyo inasema kuwa Mtu mweupe ndiye shetani. Kwamba alizalishwa miaka elfu sita iliyopita. Na kuwa baada ya miaka elfu sita watu weusi ambao ndiyo watu asilia watarudia utukufu wao. Ni ugumu wa maisha uliozaa dini hii.

6. Budhha mwenyewe alianzisha dini yake baada ya kuoana mateso wanayopitia watu.

7. Dini nyingi zinazoanzishwa leo na wakina Gwajima, Mwamposa, Mzee wa Upako nk, zinaanzishwa sababu ya maisha magumu. Sehemu kubwa zinahubiri utajiri, uponyaji, na mafanikio kwa ujumla. Ugumu wa maisha ndizo zimefanya uwepo. Watu wakienda huko wanapata ndoto zao za mchana na kuepuka matatizo yao kwa muda.

Sababu nyingine kubwa ya kuanzisha dini ni ya kisiasa. Dini kama Ukatoliki na Uislamu n i kwa ajili ya watu kujipatia nguvu za kisiasa. Hata mifarakano kwenye dini hizi. Mfano kutokea kwa kanisa la Orthodox, Anglicana nk, ni sababu za kisiasa. Kutokea kwa Usunni na Ushia ni sababu za kisiasa.

Dini nyingi ni uzushi.
Ahahahahaaaaa uko sahihi kwa 60%. , dini zimejaa utapeli sana, ukichunguza wa kweli hawawezi kuzidi 20%
 
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.

Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Ila mambo ya dini bhna.
Haya kwa mujibu wako...

61. Ametukuka aliye zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia humo taa na mwezi unao ng'ara.

Kwenye nukuu yako hapa, embu cheza sasa tukuelewe kuwa mwezi unaakisi mwanga. Kulingana na Aya hiyo
 
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.

Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Na hyo nukuu ya genesisi wala si kama ulivyoileta hapa.

Udini mbaya. Tusome na elimu zingine tujifunze, mtabishana hadi lini?

Mawazo ya watu kutoka zama za giza huko hayawezi kutusaidia tena leo.

Ona sasa yanawatesa kuyatetea ili yaendane na elimu sayansi.
 
Toa reference. Mimi nakupa reference hapa.

Book of Daniel, Chapter No.4, Verse No.10 and 11. It says… "In a dream, that the tree grew up into the heaven, and there when the tree grew up into the heaven, it grew up so much, that every one from all the ends of the earth, they could see the tree". Hii ingewezekana pale ambapo dunia ingekuwa ni Flat. Ila kwa dunia duara huwezi kuuona mti pande zote za dunia hata mti uwe na urefu kiasi gani. Kwahiyo hapa bibilia imedanganya.

Quran 79:30, says "And we have made the earth, egg shape"
Wewe ni Muongo

Quran 79:30
30. Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi.

Kama unapingamizi ilete hapa ili unifundishe.
Huyo mtume wako asingeweza kupata mawazo kama haya.
Haya mawazo ni Katika zama za Sayansi bro, its after Renaissance.

Hyo sura haiko hivo, hiyo ni yako tu ili uendelee kutetea delusion yako.

Kila mtu hudai dini yake ni ya kweli.
Ila conclusion hapo ni kuwa haipo dini ya kweli.
Ni kujifunza hallucination za watu wa kale.
Mungu aliumbwa na watu wa mapangoni kuelezea radi.
Wewe unawaona wenzio mabwege au wamekosea kisa wako tofauti na imani yako. Anyway endeleeni kuamini
 
Achana na mambo ya historia kama tunajadili dini hapa. Natak unambie kwanini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6 wakati Yesu aliagiza waachezi watoto wadogo waje kwangu kwa maan ufalme wa mbingu ni wao.
Mpe reference huyo, nmemstukia.
Akikupa aya kaifungue uone ujiridhishe.

Pia kuhusu sayansi ya jua na idea za dunia flat na jua kuzama matopeni

Quran 18:86
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema

Quran 18:90

Hata alipo fika matokeo (mawio) ya jua aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo

Hapa Sayansi ya mtume ilikaaje hapa, idea zake za Sayansi ya kale kuwa dunia ni flat na jua kuzunguka dunia.

Hivi vitu vinaleta utata katika kuamini hayo kuwa ni maelekezo ya Muumbaji.
Huyo Mungu muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hakujua hata uumbaji wake ulivyo?? 🤔

Those are man made... Neither bible nor quran...

Kuna muda watu huwa tunaona mistake tu lakini inabaki kama ushabiki,
Ni sawa na music wa kigeni, hata usipouelewa unacheza na beat.
 
Dini ni Mungu kutawala walio wengi wakati siasa ni kikundi cha wachache kutawala walio wengi

Mungu ana wafuasi wengi loyal kwake kuliko wanasiasa au wanasayansi au wanafalsafa
Wanafalsafa kama mleta mada miaka nenda Rudi wanehangaika kupata wafuasi wengi wa falsafa zao wameishia kuambulia mapadri wa katoliki na watu wachache sana waliosoma falsafa seminary au vyuo vya kawaida au walioasi dini au baadhi ya wakatoliki washika ukatoloki sana ambao kidogo wana uhueni wa maisha

Pili mtu kutoamini dini yeyote pia ni ugonjwa wa akili hakuna mtu.ambaye haamini dini yeyote.au haamini uwepo wa Mungu.mwenye akili iliyotulia na peace of mind wengi wao akili ni kama hazimo ni nusu vi kuanzia walioanzisha ukomunisti wanafalsafa wasema hakuna Mungu,au dini ni.opium of the People walioasi dini na kuacha wengi akili zao nusu kaputi
Peace of mind iko.zero

Na huwa na dalili zote za ukichaa
Watu kama wewe hawanamsaada kabsa kwenye ulimwengu huu,

1. Uliwasoma wanafalsafa ukawaelewa..?
Kama ndyo ni Kitabu kipi umekisoma vizuri na ukaproof ni vichaa.

Au ni vichaa kwasababu tu wamepishana mtazamo nawewe.

2. Na kwanini unahisi ni vichaa?
Wao wakikuita kichaa utajickiaje..?
Unaweza kuwajibu hoja zao kuliko kuwatukana?

Tengeneza hoja si kuwakashfu, kwan hata wao wanakuona kama uwaonavyo wewe
 
Naona mshashiba sasa na pumzi zinawadanganya mnataka kutuchafulia hali ya hewa.

Nikukumbushe tu aliwahi kuishi nabii aitwaye Suleiman na mpaka sasa hajawahi na hatowahi kutokea mtu mwenye utajiri, mamlaka na uwezo kama aliokuwa nao Suleiman.

Licha ya uwezo wake wote huo bado aliendelea kumtumikia Mola wake. Iweje mimi na wewe tusio na lolote tujisahau na tuanze kukashifu dini.

Mungu yupo na dini zipo ila dini ya kweli ni uislamu unaokutaka umuabudu Mungu mmoja bila ya kumshirikisha na kitu chochote. May Allah guide you and I
Hizo habari sijui za Nabii Selemani and the like, we si umezisoma tu kwenye mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi! Kwani lazima kila mtu akubaliane na hayo mavitabu?
 
Tuambie exactly ni kwa namna gani mtu anakamuliwa pesa na dini? Maan nchi yetu kuna mambo mengi yanakamua watu yako wazi. Kwa mfano kwa vijana kuna bangi, uzinzi, madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia. Sasa nambie je wanadini wanakosa ela mpaka kuwa mapanya road au? Au ni hizo namna nyingine la sivyo una ogopa kuhukumiwa sababu hutaka kutua mzigo wa dhambi.
Weweee Manabii wanapiga hela kishenzi hasa kwa waumini wenye ma frustration
 
Tafiti imefanyika na kuthibitisha kuwa toka ishushwe haijabadilishwa....kupunguzwa....wala kuongezwa aya zake...
Koran Kuna mwamba alichoma ma elfu ya surah , na yeye hakuwa mtume , Aisha Kuna verse kasema hazipo kwenye Koran na zilikuwepo mfano kunyonyesha mtu mzima
 
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo.

1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa Wayahudi waliishi maisha mazuri sana wakati wa mfalme Daudi. Anadai kuwa baadaye mambo yalivyokuwa magumu, wakitekwa na kufanywa watumwa huku na kule na wababiloni na waajemi wakaanza kukumbuka enzi za Daudi. Mwishowe wakaanza kuota kuwa kuna mzao wa daudi atakuja na kurudisha neema ya wakati wa Daudi. Ndiyo huyo wakamwita Messiah. Chanzo ni ugumu wa maisha na kukumbuka enzi za Daudi.

2. Musa mwenyewe utaona kuwa alianzisha dini baada ya kuona mateso wanayopitia Waebrania kule Misri.

3. Mababu zetu walianzisha dini ili kuiomba mizimu wakati wa njaa, magonjwa na vita.

4. Kuna wakati wahindi wekundu walikuwa wanasakamwa sana na wazungu huko Marekani. wWalikuwa wamenyang;anywa ardhi yote nzuri. Wamewekwa kwenye maeneo makame na hawatakiwi kutoka huko. Na wakipigwa vita na kuuwawa kama wanyama. Akatokea mhindi mmoja akasema kuwa ametokewa na Yesu. Akadai kuwa Yesu huyo ni mhindi na ameahidi kuja kuwakomboa wahindi kutokana na mateso. Wanachotakiwa ni wacheze dansi bila kupumzika. Ikawa hivyo, watu wakaanza kucheza dansi mfululizo hadi pale serikali ya wazungu ilipoingilia kati kikatili.

5. Nilikuwa namsoma Malcom X. Dini yao ya Nation Of Islam ilianzishwa kutokana na maisha magumu waliyokuwa wanapitia watu weusi wa Marekani. Dini hiyo inasema kuwa Mtu mweupe ndiye shetani. Kwamba alizalishwa miaka elfu sita iliyopita. Na kuwa baada ya miaka elfu sita watu weusi ambao ndiyo watu asilia watarudia utukufu wao. Ni ugumu wa maisha uliozaa dini hii.

6. Budhha mwenyewe alianzisha dini yake baada ya kuoana mateso wanayopitia watu.

7. Dini nyingi zinazoanzishwa leo na wakina Gwajima, Mwamposa, Mzee wa Upako nk, zinaanzishwa sababu ya maisha magumu. Sehemu kubwa zinahubiri utajiri, uponyaji, na mafanikio kwa ujumla. Ugumu wa maisha ndizo zimefanya uwepo. Watu wakienda huko wanapata ndoto zao za mchana na kuepuka matatizo yao kwa muda.

Sababu nyingine kubwa ya kuanzisha dini ni ya kisiasa. Dini kama Ukatoliki na Uislamu n i kwa ajili ya watu kujipatia nguvu za kisiasa. Hata mifarakano kwenye dini hizi. Mfano kutokea kwa kanisa la Orthodox, Anglicana nk, ni sababu za kisiasa. Kutokea kwa Usunni na Ushia ni sababu za kisiasa.

Dini nyingi ni uzushi.

Nami huwa naamini sana ivo
 
Ila kuanzisha dini ni jambo moja na kuhamia msitu wa Shakahola ni hatua inayofuata🚶🚶
 
Na hyo nukuu ya genesisi wala si kama ulivyoileta hapa.

Udini mbaya. Tusome na elimu zingine tujifunze, mtabishana hadi lini?

Mawazo ya watu kutoka zama za giza huko hayawezi kutusaidia tena leo.

Ona sasa yanawatesa kuyatetea ili yaendane na elimu sayansi.
Nadhani hata kuku wanajua hii ndiyo maana wanajua ni wakati gani wa kutaga na wakati gani wa kuangua. Hivyo, hakuna jipya hapa. Kwani nani hajui kuwa mwezi unajua kuwa hautoi mwanga bali huakisi mwanga. Kwani, hao waliovumbua hilo nao ni Mungu?
 
Zaburi 53:1

Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Ni wafisadi, na wametenda mambo ya kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

YESU kristo ndie njia ya kweli na Uzima.
Mtu HAJI kwa BABA ILA kwa NJIA ya Yesu.

Nakuomba kwa Mungu AKUPE neema USOME BIBLIA KWA KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU.

HAYLTIMAYE MUNGU AKUFUNULIE YOOOOTE.
Mkuu umevaa ngozi ya kondoo. Lakini maneno yako siyo ya mwanakondoo
 
Back
Top Bottom