Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Alikuwa mwarabu...ama Nabataen...alibadilisha dini na kuwa na dini ya kiyahudi....Nambie kwanza herode alikuwa myahudi au sio myahudi?
Uyahudi ni "ethnic"...
Uyahudi ni dini pia....
Alikuwa ni mfalme aliyekuwa na mahusiano na warumi....