Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Well,eee ..er,yes. Naishi maisha ya ovyo kwa ajili ya ulinzi maridadiWageni wanafukuzwa ili kulinda usalama wako?🤔
Nasikitika Baba wa Taifa hakuiba hela. Sasa hivi ningekuwa mtu wa kuheshimika.Sasa Mkuu, wewe mtoto wa Baba wa Taifa ukilalamika sisi watoto wa ‘wasiojulikana’ itakuwaje?
Lakini nimependa umekiri u-mvivu, hivyo basi hukupaswa kusema uliyoyasema. Hili ni janga la kula na wa kwenu.
Jina alilowaachia ni zaidi ya hela Mkuu, kumbe ndio maana unalalamika maisha magumu basi.Nasikitika Baba wa Taifa hakuiba hela. Sasa hivi ningekuwa mtu wa kuheshimika.
Kilo ya Michele ni buku jero,unga buku jero wewe unataka viuzwe bei gani ?Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Kama huyu ni mtoto wa baba taifa basi ni mtoto mpumbavu mno. Ninamshauri asage chupa anywe.Jina alilowaachia ni zaidi ya hela Mkuu, kumbe ndio maana unalalamika maisha magumu basi.
Huijui thamani ya jina la baba yenu ambaye dunia nzima inamfahamu!
Sasa vyanzo si ndio unavitafuta au unaviunda mwenyewe?Bila kuwa na fursa mbali mbali na vyanzo vya utoaji ajira. Lazima vijana wataonekana wavivu.
Familia nyingi nchi kula nyama zimesahau vyakula vimeshuka bei ila bado huwezi kula Mchele ni lazima upike gharama zinahitajika wapo wafanyakazi wanalipwa laki 3 nauli,kula, kulipa Kodi,kuumwa itatosha?Kilo ya Michele ni buku jero,unga buku jero wewe unataka viuzwe bei gani ?
Kwani lazima kula nyama? Hizo gharama ndio zimekuwepo miaka yote au lini ulikuwa unapika bila gharama?Familia nyingi nchi kula nyama zimesahau vyakula vimeshuka bei ila bado huwezi kula Mchele ni lazima upike gharama zinahitajika wapo wafanyakazi wanalipwa laki 3 nauli,kula, kulipa Kodi,kuumwa itatosha?
Tatizo mnapokuwa vizuri kibiashara mnakimbilia mikopo, mkiamini wenzenu wametoboa kwa mikopo siyo deal chafu na wapo kwenye mikopo kama bosheni tu ili msiwastukie, at the end mnageuka watumwa wa benk kufanya marejesho mpaka mnafirisika.Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Si wengine toka enzi za mkapa tunasota Ila hatujakata tamaa,....tena na wewe una connection kubwa tu Ila unalalamika,si wenzako ukoo mzima aliyefanikiwa kutoboa ni mwalimu wa shule ya msingiSidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.