Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
 
Kilo ya Michele ni buku jero,unga buku jero wewe unataka viuzwe bei gani ?
 
Familia nyingi nchi kula nyama zimesahau vyakula vimeshuka bei ila bado huwezi kula Mchele ni lazima upike gharama zinahitajika wapo wafanyakazi wanalipwa laki 3 nauli,kula, kulipa Kodi,kuumwa itatosha?
Kwani lazima kula nyama? Hizo gharama ndio zimekuwepo miaka yote au lini ulikuwa unapika bila gharama?
 
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Tatizo mnapokuwa vizuri kibiashara mnakimbilia mikopo, mkiamini wenzenu wametoboa kwa mikopo siyo deal chafu na wapo kwenye mikopo kama bosheni tu ili msiwastukie, at the end mnageuka watumwa wa benk kufanya marejesho mpaka mnafirisika.
 
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Si wengine toka enzi za mkapa tunasota Ila hatujakata tamaa,....tena na wewe una connection kubwa tu Ila unalalamika,si wenzako ukoo mzima aliyefanikiwa kutoboa ni mwalimu wa shule ya msingi
Tuliza akili,punguza kulalamika na uache uvivu😡😡😡
 
Back
Top Bottom