Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi
 
Maisha yanawapeleka wapi vijana? na maadili yanaenda wapi? na hizo video za afu tatu ziko wapi?
Unataja uzione Video za Afutatu 🤣🤣🤣.

Ukiona Vijana wamepanga Chumba kimoja, Kila siku ni mziki mkubwa, wanashinda Ndani na kutoka usiku, huku watoto wa kike wakiingia na kutoka geto mara kwa mara, ndo michezo Yao hiyo ya kufanya video Ngono.

Kinondon, Ubungo, Bugurun, Buza, Kariakoo, Mbezi Kimara, Sinza, Tabata
 
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi
Oktoba 2025 anatoboa mapema asubuhi sana
 
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi

Unawaonea sana, majini kwao ( according to Quran ) ni sehemu ya maisha yao! Ni utaratibu wao
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mtoa BANDIKO UNAANDIKA KITU AMBACHO SI SAHIHI,UNAWADANGANYA WANA JUKWAA,YALE MAPETE MAKUBWA NI UREMBO TU YANAUZWA NA WA MASAI HATA WRWE UNAWEZA KUNUNUA UKAVAAA.PETE. Pete za majini ni za dhahabu tu,kama unawajua waganga wachunguze wenginkama si wote ndiyo wanavaa Pete za dhahabu ambazo ni za majini.
Tafadhali kama kitu hujui usiwalishe watu matango pori.
Ahsante Kwa kusoma ujumbe wangu.
 
Back
Top Bottom