Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

Haya mapete ni kama urembo tu, wengi wao wanayoyavaa ni choka mbaya tu.
 
Jini Maimuna
Jini Subiani
Jini Kisirani
Jini Makata
Jini Zamzam
 
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi
Habari ya MJINI mkuu
Cc
Mpaka kwa wachungajii
 
Sijawahi kumuona Mzee wangu Bakhresa ama Gurham dewji akiwa kazivaa
 
Hahaha hakuna majini, wanakutisha tu.

Umewahi kuyaono hayo majini au wanakusimulia tu?
 
Back
Top Bottom