Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hata kama maisha magumu ndo utumie majini?Sasa shida iko wapi? Tanzania ni ngumu mno kuishi, Bila hayo mavitu hutoboi. Acha watu waangalie unafuu kupitia Majini.
Maisha yanawapeleka wapi vijana? na maadili yanaenda wapi? na hizo video za afu tatu ziko wapi?Na kuigiza video za Ngono Kisha kuziuza Kwa Afutatu Afutatu tu.
Unataja uzione Video za Afutatu π€£π€£π€£.Maisha yanawapeleka wapi vijana? na maadili yanaenda wapi? na hizo video za afu tatu ziko wapi?
πππMaisha yanawapeleka wapi vijana? na maadili yanaenda wapi? na hizo video za afu tatu ziko wapi?
Oktoba 2025 anatoboa mapema asubuhi sanaUkiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi
nipo dar ila hii huduma mbona haijanifikia, kumbe kuna mengi bado sijaona ππ€§Na kuigiza video za Ngono Kisha kuziuza Kwa Afutatu Afutatu tu.