Mnaweza kutana wavaa Mapete wengi kwahiyo kukatwa kupo tu, anayehitajika bado si mmoja tuHamna kitu Kama hicho.
Mbona yule Shehk Sule (Dr sule)
Amekatwa jina lake katika udiwani pamoja na kuvaa mapete
Hakuna kitu Kama hicho hizo pete ukitaka na wewe nakueletea zinauzwaMnaweza kutana wavaa Mapete wengi kwahiyo kukatwa kupo tu, anayehitajika bado si mmoja tu
ndio zinauzwa, ila zinaongezewa manuizo na kafaraHakuna kitu Kama hicho hizo pete ukitaka na wewe nakueletea zinauzwa
ππππNa kuigiza video za Ngono Kisha kuziuza Kwa Afutatu Afutatu tu.
Mafanikio ni mchakato wa kufanya Kazi , bidii na kujielewa hakuna pesa wala utajiri utapata kwa kuvaa mapete Mkuu .ndio zinauzwa, ila zinaongezewa manuizo na kafara
akiliππππNa kuigiza video za Ngono Kisha kuziuza Kwa Afutatu Afutatu tu.
Alikutana na jini lenye power zaidi ya jini lake.Hamna kitu Kama hicho.
Mbona yule Shehk Sule (Dr sule)
Amekatwa jina lake katika udiwani pamoja na kuvaa mapete
Waganga wengi ni hawa kobaziHAYA YOTE YANALETWA NA UKOBAZI,JAMAA WANAPENDA SANA SHIRKI
Maisha magumu aisee. AFU MBILI mpaka afu tatu wanauza.mpaka buku wanakuonyesha makuNa kuigiza video za Ngono Kisha kuziuza Kwa Afutatu Afutatu tu.
Tazama video za sheikh yahya mbobevu wa masuala ya unajibu utaona anavyochambua Pete za rangi mbalimbali na kazi yake kiroho.Mtoa BANDIKO UNAANDIKA KITU AMBACHO SI SAHIHI,UNAWADANGANYA WANA JUKWAA,YALE MAPETE MAKUBWA NI UREMBO TU YANAUZWA NA WA MASAI HATA WRWE UNAWEZA KUNUNUA UKAVAAA.PETE. Pete za majini ni za dhahabu tu,kama unawajua waganga wachunguze wenginkama si wote ndiyo wanavaa Pete za dhahabu ambazo ni za majini.
Tafadhali kama kitu hujui usiwalishe watu matango pori.
Ahsante Kwa kusoma ujumbe wangu.
Sio kwamba wao ndio wanaibiwa na wanadanganywa? Hakuna kitu kinaitwa Jini ni Udanganyifu tuHawa ndio chanzo cha kuteseka kwa watu wengine kutokana na wizi wanaowafanyia wengine.
Inabidi uvae zote hizo ?Akili akili
Kuna pete ya bahati
Pete ya mvuto wa pesa
Pete ya ulinzi
Mambo ya ajabu
Tafuta maarifa kuliko kuyakataa.Sio kwamba wao ndio wanaibiwa na wanadanganywa? Hakuna kitu kinaitwa Jini ni Udanganyifu tu
Mbona kuna wenye Kadi za CCM na hausemi?Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu siwapi