Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

Still hata nikifa kesho ningependa tu kunwambia mtu ninaye mpenda kwamba nilitamani nini sema tu muda wangu haukunipa hiyo nafasi
Kuna manzi nilikutana nae maeneo sasa huyu kiumbe nimemzimia tokea utotoni. Tatizo nilikuwa nimelewaa sanaaa nikahofia kumwabia kama nampenda kwasababu angeona anatongozwa na mlevi. Mama..ee sijaonana nae tena nishamfata fb huko hata kujibu hataki, sasa sijui malaika wa kifo atasubiri mpaka nitoe mistari?.
 
Try ur best mkuu nafasi unayo mweleze tu feelings zako hata akiona unampigia kelele sawa

Unajua wanaweke wanatabia ya kuzuga kukubali na kuelewa ila kimsingi wanatoka kapi kabisa

Ni ajabu sana kwakweli sema tu hatuna njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…