Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

Umeongea kwa hisia kali
 
kiukweli nafsi yangu inaumia sana na baadhi ya tabia zangu.

InshaAllah mwenyezi Mungu anijaalie niache yale yote yenye kumkera, nianze kufanya ibada na kuachana na ujinga wote ikiwa pamoja na kupata mke halali wa ndoa awe pia mcha Mungu.. kabla ya mwisho wangu natamani sana kuwa hivi..
 
Nivizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…