Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

Niondoke duniani nikiwa nimejenga msikiti, kuchimba kisima kikubwa cha maji ambacho kitadumu hata miaka 50, niwe nimefanya ibada kikamilifu kwa karibu miaka 10 mfululizo na nimetoka kuhiji Makkah. Kiufupi niwe kwenye mikono salama ya Allah
 
hakuna kitu mwanadamu atafanya basi kitamfurahisha akifa hakuna ila muhimu ni kufurahia wakati ulionao na wale ulionao basi inatosha, maana haya maisha ni ubatili mtupu kweli vile nakwambia. aliyejenga shule, kanisa, msikiti na chochote kile hakitamfanyia yeye lolote pale atakapokufa. ishi na ufurahie maisha yako maneno na sifa baada ya kufa hazina mashiko yeyote kwako wewe uliyekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…