Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

Mbona unampigia promo😳😂😂? Atakayekuwa na point nyingi ndio atapewa maua yake😂😂
Kwani humpendi we mimacho sema ukweli kutoka moyoni maisha mafupi haya, mi nilijua unampenda kwanzia ulivyomuona acha zako, kuwa huru mkuu maisha ni haya haya 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…