Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mkuu Konda msafi alikukosea nini??😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Konda msafi alikukosea nini??😂😂😂
Askali wa congo hadi sasa ukimnunulia bia ikashalewa tu unaweza chukua silaha ukaenda kufanyia ujambazi ukamaliza ukamrudishia hiyo silaha simple halafu silaha wanakaa nazo nyumbani jioni huwa hawarudishi kituoni tena kipindi hicho cha vita ndo mpaka raia walikuwa nazo mtaani mnapishana fresh tu hakuna anamshangaa mwenzake.Rama alikua usalama huyo boya boya huwez kusogea kwa wajeda wakupe na silaha uanzea kupima shabaha muda huo watu usiku wametoka kweny mapigano ni ngumu
Endelea basiAskali wa congo hadi sasa ukimnunulia bia ikashalewa tu unaweza chukua silaha ukaenda kufanyia ujambazi ukamaliza ukamrudishia hiyo silaha simple halafu silaha wanakaa nazo nyumbani jioni huwa hawarudishi kituoni tena kipindi hicho cha vita ndo mpaka raia walikuwa nazo mtaani mnapishana fresh tu hakuna anamshangaa mwenzake.
Kwakweli mkuu maana tuna kiuUsijali mkuu nilikuwa nafuatilia mechi ya watani ila kwa kuwa imesogezwa hadi saa moja ngoja niweke kipande kidogo humu mkazie swaumu huku tukisubiri mechi.
Hata kikiwa kirefu sio mbaya maana mechi si mpaka saa 1 bhana, we shusha vitu tuUsijali mkuu nilikuwa nafuatilia mechi ya watani ila kwa kuwa imesogezwa hadi saa moja ngoja niweke kipande kidogo humu mkazie swaumu huku tukisubiri mechi.
Nitag tafadhaliUsijali mkuu nilikuwa nafuatilia mechi ya watani ila kwa kuwa imesogezwa hadi saa moja ngoja niweke kipande kidogo humu mkazie swaumu huku tukisubiri mechi.
Mkuu endelea basiUsijali mkuu nilikuwa nafuatilia mechi ya watani ila kwa kuwa imesogezwa hadi saa moja ngoja niweke kipande kidogo humu mkazie swaumu huku tukisubiri mechi.
Hahhahhaa Gwasa huko bado watata tu mpaka leo?Noma Sana huyo Jamaa Rama.... Kama ingekua kwenye kazi zangu hizi za bajaji ni Kama kupakia abiria sa nane usiku anaenda chang'ombe extension huko.... Inahutaji zaidi ya ujasiri
Kongo sio kongowe mkuuRama alikua usalama huyo boya boya huwez kusogea kwa wajeda wakupe na silaha uanzea kupima shabaha muda huo watu usiku wametoka kweny mapigano ni ngumu
Inaendelea sehemu ya sita....Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa.
Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye udereva ili niweze kuishi kama mnavyojua maisha ni popote na kujaribu ni muhimu kuangalia kila sehemu ili uweze kutoka ukinzingatia kuwa wengine shule yetu ni kidogo hivyo ni muhimu kijipambania kwa kila hali ili uweze kujikimu kimaisha tukawa tunashike hili na lile ili mrasi tuweze kuishi.
Story yangu ni ndefu kigodo ila ntajitahidi niimalize kwa wakati ili kuepuka zile maneno za kakimbia sijui nini ila naomba tuwe na uvumilivu tu kwani swala la kuandika nalo ni mtihani ukizingalia device tunazo tumia sio rafiki .kwa wale wasio wavumilivu naomba tupite tu hakuna haja ya kulalamika.
Story inaanzia hapa...
Miaka 2000's kulitokea wimbi kubwa la usafirishaji wa magari kutoka bandarini Dar kwenda DRC kipindi kicho ikitwa congo (kama sijakosea) kipindi hicho nilikuwa najishughulisha na udereva taxi pale Mapambano kijitonyama nikipindi ambacho biashara ya taxi ilikuwa na hela kiasi kwani biashara ya Bajaji na bodaboda ilikuwa bado na watu walikuwa hawajazoea kupanda vyombo hivyo, basii maisha yakawa yanasonga mbele kama sijasahau mwishoni mwa miaka ya 2001 ndo vita congo ilikuwa imepowa japo nilikuwa siwahi kufika huko hata mara moja.
Kijiweni kulikuwa kuna mshikaji alikuwa anaitwa Rama kwanza nikili kuwa huyu jamaa alikuwa mjanja kupitiliza na alikuwa anasafiri sanaa inasemekana hata nganda alikuwa anabeba japo tulikuwa wote pale pale kijiweni nae ana kigari chake mwenyewe anabeba abiria ndipo akanipa mchongo wa kusafiirisha magari ya wa kongo kwenda Congo kipindi hali haikuwa nzuri kwakweli hivyo madereva wengi walikuwa hawapendi kwenda huko japo wacongo walikuwa wanapanda offer ya mpaka dolla 250 kuifikisha gari KASUBALESA boda ya Congo na zambia then unamwachia anamilizia kipande chake.
Hapo ndipo jamaa yangu Rama alipopata hiyo fursa kwa jamaa yake alieoko pale bandarini ambae alikuwa na kampuni yake ya clearing na fowarding pale bandarini na kumwambia kuwa kuna wacongo wanahitaji magari yao yafike lumbumbashi then wao watayasafirishi kwa ndege kwenda kinshasa ila wao hawapandi hizo gari wao tutakutana lumbumbashi sehemymu moja sehemu moja kunaitwa KOTA naona nikaribu na soko kubwa la Lubumbashi mjini katikati.
Cha ajabu jamaa walitoa pesa yote kwa jamaa yao wa pale bandarini na kampuni ndo ilitakiwa isimamie kila kitu hapo ndipo mwanangu Rama akanitustua nakumbuka ilikuwa ni kati ya mwezi wa tano kwenda wa sita. Mvua zinanyesha Dar hakuna mfano abiria hakuna nikaona bora nitoe gari kwa jamaa nikimbize IT kwanza nami nipate uzoefu.
Baada ya jamaa yangu kuweka mambo sawa ikiwemo kupata passport ya karatasi na chanjo ya homa ya manjano mzes mzima siku ikawadia jamaa yule akatupa dolla 100 advance, 50 maillage na 50 ya barabarani nikiongea bararani mnilewe hiyo ya wazee .Gari mpya kutoka kiwandani yani bado zina makaratasi mitusubishi dabo cibin mpya kabisa wazee tukawekewa full tank. Zikabandikwa number za IT .siku ya j2 ndo safiri ikawa imeanza rasmi mara ya kwanza kusafiri na magari ya IT ila mwenzangi rama yeye alikuwa mzoefu hata kwa njia hio pia alikuwa anaijua vizuri na alikuwa anajua hata kizambia kidogo na kikongo kisawahili chao kile cha kuya Papa uko na makuta ngapi? Hhhhaaaa...
Safari imeanza.
ITAENDELEA JIONI...
Bora tuhamie Congosafari za south afrika miyeyusho..
sasa tupo congo ole wako ulete ungese.....nitakupga
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app