[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeua mzeeee babaStory nzuri hii...
Asante kwa burudani acha niweke kitu cha wadhamini kidogo...
Hahahahaaa halafu kushoto wote ndoto yao ni kumiliki leseni....ukimkuta degree mzuri fasta tuKolwezi nakubali mkuu ni balaa ile mahali asee nakumbuka mm nilienda kupeleka generators nikiwa kama kushoto kwa watubwa malori wanaelewa kushoto ni nani
ππHahahahah nimecheka mpaka nimepaliwaππ uwiiiiihπ π π π konda msafi jamaa wa nyuzi za south Africa
ukileta tu uzi kuhusu south africa anauvamia anaanza kusahihisha kama na yeye ulikuwepo naye yani π π
Nan kakwambia hata usalama wanaweza kupewa silaha?Rama alikua usalama huyo boya boya huwez kusogea kwa wajeda wakupe na silaha uanzea kupima shabaha muda huo watu usiku wametoka kweny mapigano ni ngumu
Wazee, anachosema mtoa Uzi ni kweli kuhusu wajeda wa Congo na hata Burundi. Hawako serious au hawana Ile nidhamu ya jeshi Kama la Tz. Kukuona silaha anakupa kabisa bila shida. Mimi nilienda Burundi Kati ya mwaka 2008, mwenyeji wetu alikuwa mjeshi wa Kule Burundi na alikuwa anaishi kambini. Tulilala kwenye chumba na Cha ajabu kulikuwa na silaha; SMG, G3, na Bastola. Zote zilikuwa na magazine zimejaa na chini risasi zilikuwa zimemwaga Kama rundo la karanga. Nilikuwa na mwenzangu mmoja tuliyeenda nae. Yule mjeda alituambia kuwa, Hali ya usalama kwao ilikuwa tete, yaani jeshi like la watusi lilikuwa haliwaamini wanajeshi waasi wa kihutu waliokuwa wamejumuishwa jeshi. Hivyo, akasema tukiona Hali isiyoeleweka tujilinde. Wote akatupatia bunduki pembeni yetu. Nilishangaa na mm hivyo mnavyoshangaa. Uzuri nilikuwa nimeshapita jkt na nilikuwa nakumbuka kutumia G3 na SMG. Wazee wale hawana nidhamu ya jeshi, amini hivyo.Nan kakwambia hata usalama wanaweza kupewa silaha?
Mkuu mm ninakubaliana kabisa na Mleta uzi kuhusu suala la askar wa congo kutokua na nidhamu na silaha tofaut kabisa na hapa TzWazee, anachosema mtoa Uzi ni kweli kuhusu wajeda wa Congo na hata Burundi. Hawako serious au hawana Ile nidhamu ya jeshi Kama la Tz. Kukuona silaha anakupa kabisa bila shida. Mimi nilienda Burundi Kati ya mwaka 2008, mwenyeji wetu alikuwa mjeshi wa Kule Burundi na alikuwa anaishi kambini. Tulilala kwenye chumba na Cha ajabu kulikuwa na silaha; SMG, G3, na Bastola. Zote zilikuwa na magazine zimejaa na chini risasi zilikuwa zimemwaga Kama rundo la karanga. Nilikuwa na mwenzangu mmoja tuliyeenda nae. Yule mjeda alituambia kuwa, Hali ya usalama kwao ilikuwa tete, yaani jeshi like la watusi lilikuwa haliwaamini wanajeshi waasi wa kihutu waliokuwa wamejumuishwa jeshi. Hivyo, akasema tukiona Hali isiyoeleweka tujilinde. Wote akatupatia bunduki pembeni yetu. Nilishangaa na mm hivyo mnavyoshangaa. Uzuri nilikuwa nimeshapita jkt na nilikuwa nakumbuka kutumia G3 na SMG. Wazee wale hawana nidhamu ya jeshi, amini hivyo.
Kwan amesema atarusha kipengel lingine Cha kulaliaTuko hapa tunasubiri saa nne
Du kweli duniani uwanja wa vita najiona bado sijapigania maisha yangu,halafu nipo nipo tu kizembe.
Ana marking scheme πππ π π π konda msafi jamaa wa nyuzi za south Africa
ukileta tu uzi kuhusu south africa anauvamia anaanza kusahihisha kama na yeye ulikuwepo naye yani π π
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] konda msafi jamaa wa nyuzi za south Africa
ukileta tu uzi kuhusu south africa anauvamia anaanza kusahihisha kama na yeye ulikuwepo naye yani [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana marking scheme [emoji1][emoji1]
Jilipue uende Norway[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha uwanja wa vita..... Na Mimi nawaza, Nina 5m hapa sijui nijilipue vipi na Mimi nipitie changamoto Kama hizi