Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Achana na habari za M23 tu,ninajua vzr kuanzia Congo 1st war up to now,Na hakuna conventional war ilipiganwa na M23 bali ilipiganwa Guerrilla warfare so weka facts zako sahihi

Narudia Mwaki hakupigana na hao ADF.
 
Rama mjinga sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stori very interesting ila Sasa kwanini usiiweke juuu mwanzo wa uzi ? Sisi watu wa tecno tunapata taabu Sana alafu namsomea mke wangu anapenda Sana

Kama upo maeneo ya huku kwetu nitakupa zawadi ya sikukuu
Mkuu jambo dogo hili ila limenifurahisha. Unamsomea mkeo story, hongera sana Mungu awazidishie upendo.
 
Chai imeanza sasa.

Mwakibolwa alipambana na M23 na wala sio ADF.

We hadithia tu khs Safari yako hayo mengine utaanza kutunywesha chai ya motoooo.
Sasa chai iko wapi huoni hapo kachanganya madesa? Kwani yeye ni expert wa jeshi. Ukiona mtu asiyejua wanyama anachanganya chui na duma huyo sio muongo, anakosea kuwatofautisha.
 
Achana na huyo mtoto wa mama hajui kitu kwaa taarifa tu ni kwamba waasi wote wote ni kitu kimoja ila hugawanyika baadae linapokuja swala la maslahi anyway niligusia tu huko kuweka sawa story sio dhumuni la hii story then mimi huwa naweka real story sio story za vitabuni kwanza mimi mvivu wa kusoma vitabu ndugu saa nane naweka kitu kingine stay turn............
 
Kwahy unajua usalama hawana silaha si ndio
 
Sasa chai iko wapi huoni hapo kuchanganya madesa? Kwani yeye ni expert wa jeshi. Ukiona mtu asiyejua wanyama anachanganya chui na duma huyo sio muongo, nakosa kuwatofautisha.
Aongee anachokijua boss,hizi story nyingine za kusadikika aachane nazo.
 
Achana na habari za M23 tu,ninajua vzr kuanzia Congo 1st war up to now,Na hakuna conventional war ilipiganwa na M23 bali ilipiganwa Guerrilla warfare so weka facts zako sahihi

Narudia Mwaki hakupigana na hao ADF.
We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
 
tupe muendelezo kaka..... hizi comment nyingine we achana nazo
 
rama anafaa kujulikana humu[emoji23][emoji23]

sijui bado mzima??ingefaa apewe medali jemedali huyu wa utafutaji.
nikisoma majanga ya utafutaji wa wanaume hapa duniani,nakiri adam aliharibu sana pale eden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…