Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Hadithi tamu hadi swaum siioni,nipo tuned mzee baba shusha mavitu tuendelee kusahau mashida yetu.
 
Fact
 
Yaani Kanda bongo man njia nzima hujatoa hata pua moja au hukuona pisi Kali yeyote ? Tafadhali sheh
 
Kama sio mtembeaji nje ya Tanzania huwezi amini ukihadithiwa, waweza dhania ni stori tu lakini watu wanayokutana nayo njiani, Mungu ndio anajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…