Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Rama katili😂😂

Ila ile njia konki sana aisee ukiwa na roho nyepesi kule hakufai

Kule unakua na roho ya Pakashume aisee. Nishaenda Kolwezi kama mara mbili na Lubumbashi banyamulenge kama kawaida walitutaitisha wakatupukutisha dizeli nyoko wale
 
konda msafi akitafakari pa kuanzia!
54321086.jpg
 
Imeanza kunoga sasa,tupe vitu mkuu
 
Tunasubr stori...........yaan mm nilikuchukua Kama rafiki nashangaa Leo umetengeneza Uzi dah siku hyo ilikuwa Cha mtoto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Miaka ya 2000s tochi azikuepo hii ni chai.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Zilikuwepo sana lakini chache na tena zilikua zile za kizamani sio za picha. Anakuja kukuonesha manamba namba tu ila zilikua boshen balaa sumtym zinazingua hazinakili kitu akija anafika dirishani anatoa macho tu

Nakumbuka mpaka kuna kipind tukawa tunadanganyana kuwa ukiwasha waipa tochi haisomi

Barabara ya Dar Moro ndo walikuwepo sana na hiyo ya mbeya

Kipande cha Moro Dom nilishawah kukamatwa 2002/2003
 
Back
Top Bottom