Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Stori nzur tunangoja episode zinazofuata ila rama duu gaid aliyeshindikana
 
Umeanza uongo kusema mkapigwa tochi...Miaka hiyo tochi haikuepo.
 
Zilikuwepo sana lakini chache na tena zilikua zile za kizamani sio za picha. Anakuja kukuonesha manamba namba tu ila zilikua boshen balaa sumtym zinazingua hazinakili kitu akija anafika dirishani anatoa macho tu

Nakumbuka mpaka kuna kipind tukawa tunadanganyana kuwa ukiwasha waipa tochi haisomi

Barabara ya Dar Moro ndo walikuwepo sana na hiyo ya mbeya

Kipande cha Moro Dom nilishawah kukamatwa 2002/2003
Sisi tuliwwka sana nyaya za umeme ile inayo fukiwa chini ya ardhi...

Unaning'iniza nyuma ukipigwa tochi inasoma zile cheche za ule waya inakuwa chengachenga...
Hii wazee border to borders pekee ndiyo Wanaelewa..
 
Maeneo hayo nayajua sana.. niliacha mtoto hapo
 
Nasubir story iendelee storg ni kali ile mbaya asee
 
Back
Top Bottom