Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Asalam. Ndugu samahani kwa kushindwa leo kuweka episod inayofuata kwa kweli leo nimeamka na mafua makali sana hivyo nimemeza tembe za mafua kichwa kinagonga balaa hata kuandika naona uvivu .

Ndo natoka msikitini kuswali ijumaa si unajua mimi ni wisilamu pia nimefunga naomba nillale kidogo then kichwa kitulie nikishapa au kabla iftari nawaahidi ntashusha uzi kama wote ishallah nawaahidi kuimalizia hii story yote siishi njiani .wabilah tawfiq
 
Inshallah! Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi.
 
Itaendelea....
 
Mkuu kama ushameza tembe za dawa na maji tayari ushafungulia pole sana kwa mafua, pole na Swaum
Usisahau kunitag ukiendelea...
 
INSHA ALLAH, Dawa ya mafua mazoezi
Funga mwenzie mazoezi na Idhkarr..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…