Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Naona Isha vamiwa nilijuwa tu Kuna watu watakukosoa vikali sana kuhus hii story hvyo sioni dalili wew kuendelea
 
We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Achana nao mkuu ...endelea nasi wachache tunaokuamini
 
We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Mkuu ulisema saa nane unashusha episode naona kimya mpk sasa
 
We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Tumekubaliana usijibu mtu, kiapo kiendelee.
 
Achana na habari za M23 tu,ninajua vzr kuanzia Congo 1st war up to now,Na hakuna conventional war ilipiganwa na M23 bali ilipiganwa Guerrilla warfare so weka facts zako sahihi

Narudia Mwaki hakupigana na hao ADF.
Zingatia kanuni kama Yanga Afrika.

Uliahidi hutojibu post yoyote ni mwendo wa kushusha stori.

Sasa nakupa adhabu ya kushusha episode 3 mfululizo ndio upumzike😅😅😅
 
Hahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.

Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.

We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.
Wee konda msafi wewe tulia basi kijana
 
Vile tunasubiria kwa hamu stori iendelee😄😄😄
20200525.JPG
 
Hahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.

Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.

We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.
Mara moja moja unapunguza shobo kweny Uzi wa wenzio kumbe hadi Congo ulienda
 
Back
Top Bottom