Wa Katutura
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 366
- 450
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaa....lete story mwana....Rama noma sanaHahah wapenda hadithi mmemaindi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaa....lete story mwana....Rama noma sanaHahah wapenda hadithi mmemaindi?
konda msafi 😅😅😅😅 katuma jeshi lake yeye ana mission kwenye nyuzi nyingine nahisiKonda boy tuna kushukuru kwa kufanikisha usitishaji wa hii story.
Ng'ombe wewe [emoji202][emoji202][emoji202][emoji202][emoji202]Hahahah daah sawa mama hayawani.
Achana nao mkuu ...endelea nasi wachache tunaokuaminiWe endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Mkuu ulisema saa nane unashusha episode naona kimya mpk sasaWe endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Tumekubaliana usijibu mtu, kiapo kiendelee.We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Mapenzi ni kitu cha ajabu mkuu mwache mjomba ajimwambafai.Unamsomea mkeo yeye hajui kusoma?
Zingatia kanuni kama Yanga Afrika.Achana na habari za M23 tu,ninajua vzr kuanzia Congo 1st war up to now,Na hakuna conventional war ilipiganwa na M23 bali ilipiganwa Guerrilla warfare so weka facts zako sahihi
Narudia Mwaki hakupigana na hao ADF.
Wee konda msafi wewe tulia basi kijanaHahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.
Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.
We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ni bora angesubiria hiyo jioni akaipost yote.Kama inaendelea jioni kwanini umeandika sasa hivi?
Mara moja moja unapunguza shobo kweny Uzi wa wenzio kumbe hadi Congo uliendaHahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.
Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.
We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.