Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Wakati tunasubiri mwendelezo, naomba kuuliza swali moja, kwenye part ya mwisho umesema Askari waliwaelekeza bunduki, swali, je waliwaua au waliwaacha?

Swali la nyongeza, kama waliwaua, unaandika hii story ukitokea wapi?
😂😂😂 Aisee umenkumbusha story flani hivi.
Kuna jamaa wawili walikua baa wanakata maji sasa mmoja akatoka kwenda maliwato, sasa kakaa uko mda mreefu, aliporudi mchizi wake akamuuliza "vipi mwanangu mbona umechelewa sana"
Jamaa akaanza kumpa story ""ebana ee ile naingia tu toi nikakutana na njemba kama 4 ivi zina bunduki, nikaambiwa nichague moja wanipige risasi au waniinamishe""
Mshkaji wake kwa mshtuko akauliza "dah sasa ilikuaje aisee""
Jamaa kwa hasira akamwambia "we mpuuzi nini kwani umeskia mlio wa bunduki huko"
Mchizi alishindwa jiongeza kua jamaa alichukua option namba 2 😂😂
 
Hahaha, dah.

Noma sana, hii story ya jamaa ni bonge la adventure, natumaini atatusimulia kama kuna mahali alijikojolea.
 
Wakati tunasubiri mwendelezo, naomba kuuliza swali moja, kwenye part ya mwisho umesema Askari waliwaelekeza bunduki, swali, je waliwaua au waliwaacha?

Swali la nyongeza, kama waliwaua, unaandika hii story ukitokea wapi?
Waliwaua mkuu. Anaandika hii story kutokea kuzimu
 
Duniani hawakosi watu wa kudraw attention za wenzao toka kwenye maada iliyopo mezani.
Nampongeza mleta uzi kwa kufocus kwenye maada.
Story inonesha rangi halisi ya "...kwa jasho la uso wako utakula..."
 
Back
Top Bottom