Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

Hongera Mkuu.

Sio mbaya kabisa kuacha kumbukumbu kwenye jamii japo nauliza tu walio karibu yako wanacho cha kukukumbuka Mkuu? Mana hao ndo wanaokufahamu zaidi.

Nafikiria kujenga kisima cha kisasa sehemu yenye uhaba wa maji


Kuhusu familia yangu nimewashapa Elimu na mashamba ya kufanya kilimo so wafikirie na wao wataichaia nini dunia
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
duniani maisha mafupi sana!
 
Unakunywa mvinyo gani nitalipa Mimi.
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…