Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Karibu mkuu.Asante nafikiria hili swala pia .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu.Asante nafikiria hili swala pia .
Kitoto Cha 2000 ndio kitampunzisha mapema! Legacy atafute mtoto yatima amu adopt ampe malezi yote,hii Mimi nitafanya nikifikisha 40+ww unatakiwa utafute vitoto vya elf mbil::=hyo ndo legacy yako
Dingii shkamooNow I'm doing 50+
Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70
Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.
Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Exactly 💯.Acha woga wewe
Mungu hayupo,wala shetani hayupo
Acha kua mtumwa wa jamii
Kua mtumwa wa wewe mwenyewe na familia yako,wanajamii kila mmoja ajitegemee.
Acha woga,mali zote achia watoto wako,achana na jamii,jamii ni wasenge kabisa,mapumbavu kabisa usitoe hata mia kuhudumia majinga yanayoitwa jamii
Kwani hao watoto siyo jamii! Bila shaka hujui maana ya jamiiExactly 💯.
Hongera Mkuu.
Sio mbaya kabisa kuacha kumbukumbu kwenye jamii japo nauliza tu walio karibu yako wanacho cha kukukumbuka Mkuu? Mana hao ndo wanaokufahamu zaidi.
duniani maisha mafupi sana!Now I'm doing 50+
Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70
Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.
Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Unakunywa mvinyo gani nitalipa Mimi.Mwandishi aliangalia jamii yake kipind hicho akaona hawafikishi zaidi ya hapo .. Ila kuna nchi kama Japan miaka ya kufa inaanza zungumziwa kuanzia 85+ kwenda mbele..
Yaan kuna muda mambo ya dini yalikuwa yanalenga wahusika wa eneo hilo bila kuangalia upana wake na wakaamini ndo hivyo kwa wote.
Mfano waofunga kwa Rezma au Ramadhan ukitizama inalenga nchi ambazo majira yanasoma Sa 12 za mchana na sa 12 za usiku. Ila kuna miji au nchii ambazo jua halizami au jua halionekani zaidi ya miezi miwili jee watu kama hao watafungaje
SahihiMwandishi aliangalia jamii yake kipind hicho akaona hawafikishi zaidi ya hapo .. Ila kuna nchi kama Japan miaka ya kufa inaanza zungumziwa kuanzia 85+ kwenda mbele..
Yaan kuna muda mambo ya dini yalikuwa yanalenga wahusika wa eneo hilo bila kuangalia upana wake na wakaamini ndo hivyo kwa wote.
Mfano waofunga kwa Rezma au Ramadhan ukitizama inalenga nchi ambazo majira yanasoma Sa 12 za mchana na sa 12 za usiku. Ila kuna miji au nchii ambazo jua halizami au jua halionekani zaidi ya miezi miwili jee watu kama hao watafungaje
Kwangu Mimi pia 70 itapendeza.Shikamoo Faza....
..
secretarybird ninataka 70..... Inanitosha kabisa.....
Sitakii kusumbua watu uzeeni mimi
Hongera zake.Bi mkubwa nko nae hapa ana miaka 84
Amedumu kwenye ndoa miaka zaidi ya 50
Prof. Janabi umemshirikisha hili?Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70
Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.