Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

Hongera Mkuu.

Sio mbaya kabisa kuacha kumbukumbu kwenye jamii japo nauliza tu walio karibu yako wanacho cha kukukumbuka Mkuu? Mana hao ndo wanaokufahamu zaidi.

Nafikiria kujenga kisima cha kisasa sehemu yenye uhaba wa maji

Kuhusu familia yangu nimewashapa Elimu na mashamba ya kufanya kilimo so wafikirie na wao wataichaia nini dunia
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
duniani maisha mafupi sana!
 
Mwandishi aliangalia jamii yake kipind hicho akaona hawafikishi zaidi ya hapo .. Ila kuna nchi kama Japan miaka ya kufa inaanza zungumziwa kuanzia 85+ kwenda mbele..

Yaan kuna muda mambo ya dini yalikuwa yanalenga wahusika wa eneo hilo bila kuangalia upana wake na wakaamini ndo hivyo kwa wote.

Mfano waofunga kwa Rezma au Ramadhan ukitizama inalenga nchi ambazo majira yanasoma Sa 12 za mchana na sa 12 za usiku. Ila kuna miji au nchii ambazo jua halizami au jua halionekani zaidi ya miezi miwili jee watu kama hao watafungaje
Unakunywa mvinyo gani nitalipa Mimi.
 
Sahihi
 
Back
Top Bottom