Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Ninayo, Hadi leseni ya biashara.
👉Nime Sajili Hadi jina la biashara na kampuni brela.
sasa internet kwa nini iwe kikwazo kwako wakati serikali imeweka mfumo mzuri kwa wafanyabiashara kufanya miamala kwa lipa namba na huduma za internet kwa kiwango kidogo ili kuinua sekta ya bishara ikiwa ni pamoja na huduma za kupiga simu kwa bei ndogo kabisa
 
Dah mzee it seems, we SI level yangu katika ufikiriaji(uko nyuma Sana).
👉 Teknolojia Ina kuwa kwa Kasi Sana, vijana wata jiajiri vipi au kutafuta maarifa ikiwa internet iko juu??.
👉Vijana Wana miliki channel za online, ila ndo hivyo nako mmepiga Pini aisee🤔.
👉Gb moja una nunua kwa 2500, halafu still Kuna maeneo internet haina Kasi?
👉Mme shindwa kuifanya ttcl I we competitive, ikiwa Ina minara kabisa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…