Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Mkuu ndio maana kila siku big brother wanashinda wabongo,wapopo,Malawi na Namibia japo wa-south ndio waandazi...pale wanavyofanya ni kuivusha mipaka Big brother hicho ndio wakina masoud wanachojaribu kufanya pia
 
Nyie mnao sema hatupigi kura mna uhakika!!?
Mnajua vigezo vya kumpata mshind kama ni kura tuu!!?
Je mshindi kapata kura ngapi!!?
Na mtz kapata kura ngapi!!?

Maana mi natoa povu hapa nna uhakika kura nilipiga
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana mkuu kwa uzalendo.
 
Safari ya kulalamika kuonewa kila siku? . Inakua km eddy kenzo baada ya kukosa tuzo sasa.
Kwakwel Kenya ni majirani hapo kabisa mdada hajapendelewa. Next time upige kura[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongereni wakenya
Mlistahili
Ila mi sijaona umaana kabsa wa kumpa.
Narudia wabongo hatupendani
*masoud apeleke shindano lake Kenya
 
Haku deserve kumshinda msechu yule anko
Even so hilo halimfanyi mkenya kupewa ushindi huu leo
 
Nashukuruni kwa taarifa

Mtanzania mwenzetu aliwahi shinda pale tpf!!?
Mkuu acha uongo mbona kwenye hilo shindano alishinda mnyarwanda na mkenya akawa wa pilli?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana mkuu kwa uzalendo.
Bro mi nimeumia kama yanga imefungwa na simba vile.
We siku jaribu kwenda kwenye nchi za wenzetu hata kwenyw mashindano ya mashule tuu huwa wana kaza wanajua kunyanyuana

Huku utakuta zaid zaid tunapondana wenyewe kwa wenyewe
 
Ngendu Pily wa Burundi nilikuwa team yake......Kipanya Masoud HONGERA SAANA extend Maisha plus kwa watu wazima
 
Idrisa alivyoshinda big brother kwani kulikuwa hamna wa south kule piga kula za kutosha mkuu acha lawama
 
 
Nashukuruni kwa taarifa

Mtanzania mwenzetu aliwahi shinda pale tpf!!?
so mkuu ww unataka mtanzania ashinde tu?
mi nadhan anayetakiwa kushinda ni yule anayestahili kutokana na vigezo walivyoweka waandaaji...awe mtz, mkenya au yeyote yule
 
Bro mi nimeumia kama yanga imefungwa na simba vile.
We siku jaribu kwenda kwenye nchi za wenzetu hata kwenyw mashindano ya mashule tuu huwa wana kaza wanajua kunyanyuana

Huku utakuta zaid zaid tunapondana wenyewe kwa wenyewe
Sawa mkuu.
Huo ndo uzalendo wa kweli, ila kusiwe na upendeleo itaharibu mashindano.
Hilo la Yanga kufungwa na Simba haiwezekani kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Kura sio kigezo mi roho imeuma mpaka bac yaan mkenya kuchukua hizo hela ni dharau tosha.
Watu tumepiga kura za kutosha ili kijana wa Dodoma ashinde
Lkn tumechinjiwa baharini. Next time sipigi kura
Halafu watu wanasema mkenya kastahili kwa lipi!!?
Yaan watanzania leo wamenikera kweli.
Mi naamini hela kapewa mkenya kwa makusudi tuu ambayo hayatusaidii na kutetemekea wageni kama kawaida ya nchi yetu
 
Mashindano ya tusker project fame yamefanyika kenya mara zote na hakuna mkenya alieshinda labda kama kumbukumbu zangu hazipo sawa
Amewahi sana na haiwezekani wawe hawajahi kushinda
Ni bongo tuu ndio tunaweza andaa mashindano na kuwapa ushindi wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…