Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Mkuu ndio maana kila siku big brother wanashinda wabongo,wapopo,Malawi na Namibia japo wa-south ndio waandazi...pale wanavyofanya ni kuivusha mipaka Big brother hicho ndio wakina masoud wanachojaribu kufanya pia
 
Nyie mnao sema hatupigi kura mna uhakika!!?
Mnajua vigezo vya kumpata mshind kama ni kura tuu!!?
Je mshindi kapata kura ngapi!!?
Na mtz kapata kura ngapi!!?

Maana mi natoa povu hapa nna uhakika kura nilipiga
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana mkuu kwa uzalendo.
 
Safari ya kulalamika kuonewa kila siku? . Inakua km eddy kenzo baada ya kukosa tuzo sasa.
Kwakwel Kenya ni majirani hapo kabisa mdada hajapendelewa. Next time upige kura[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongereni wakenya
Mlistahili
Ila mi sijaona umaana kabsa wa kumpa.
Narudia wabongo hatupendani
*masoud apeleke shindano lake Kenya
 
Mshindi kutoka Uganda Davis alijinyakulia zaidi ya Tsh. 30,000,000/- huku akijipatia mkataba wa kurekodi Album na kampuni kubwa huko Afrika ya Kusini.

Mkuu aliyeshinda kwenye TUSKER PROJECT FAME sio Mkenya ni Mganda, Peter Msechu ndo nafasi ya pili kutoka Tz.
Haku deserve kumshinda msechu yule anko
Even so hilo halimfanyi mkenya kupewa ushindi huu leo
 
mkuu hawa wanaosema tpf walikuwa wanashinda wakenya sidhan kama walikuwa wanaifuatilia.....ktk season zote Uganda ndio waliongoza kwa kuchukua mara nyingi tena kila aliyeshinda alikuwa anadeserve kabisa....ktk maisha plus mwaka huu wakenya wote walikuwa serious tena walijipanga kushinda sio watz maneno mengi tena nonsense....
Nashukuruni kwa taarifa

Mtanzania mwenzetu aliwahi shinda pale tpf!!?
Mkuu acha uongo mbona kwenye hilo shindano alishinda mnyarwanda na mkenya akawa wa pilli?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana mkuu kwa uzalendo.
Bro mi nimeumia kama yanga imefungwa na simba vile.
We siku jaribu kwenda kwenye nchi za wenzetu hata kwenyw mashindano ya mashule tuu huwa wana kaza wanajua kunyanyuana

Huku utakuta zaid zaid tunapondana wenyewe kwa wenyewe
 
Ngendu Pily wa Burundi nilikuwa team yake......Kipanya Masoud HONGERA SAANA extend Maisha plus kwa watu wazima
 
Yani huu ni uwazi usiopingika kina masoud mmeongozwa na Ile kitu mtaonekana wabaguzi yani mmempa ushindi mkenya sababu hiyo hiyo tu

Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi

Yani shindano lipo kwenye aridhi yetu na Kijana wetu kaonyesha kabisa anaweza ila hisia tu zimewaongoza mmempa ushindi mkenya

Kiukweli mmeboa
Idrisa alivyoshinda big brother kwani kulikuwa hamna wa south kule piga kula za kutosha mkuu acha lawama
 
Leo tumeshuhudia kilichtke maisha plus mkenya kaondka na M 30 zake kiulainiiiiiiih
Tatzo linakuja hapa baada ya mchujo kupita then kuna kitu kinaitwa kupiga kura mwisho wa siku nchi jirani lazima washinde kwasababu ya upigaji wa kura
Kumbuka kwa Tz kuna washiriki wa kila mkoa so kila mkoa watajaribu kumpigia kura mtu wao ninachomaanisha kura zinagawanyika kila mtu kutokana na kundi lake
Kwa nchi za jirani lazima washinde kwa kigezo kua nchi nzima wanahimizana kumpigia kura mtu mmoja ama wawili wanaowakilisha nchi yao
Labda kama kuna mtu wakuniproce wrong aje lakn kwa namna hii hatutofka mbali na ukizingatia kura hazina limitation

GERANT LE GERANTEEH
 
Nashukuruni kwa taarifa

Mtanzania mwenzetu aliwahi shinda pale tpf!!?
so mkuu ww unataka mtanzania ashinde tu?
mi nadhan anayetakiwa kushinda ni yule anayestahili kutokana na vigezo walivyoweka waandaaji...awe mtz, mkenya au yeyote yule
 
Bro mi nimeumia kama yanga imefungwa na simba vile.
We siku jaribu kwenda kwenye nchi za wenzetu hata kwenyw mashindano ya mashule tuu huwa wana kaza wanajua kunyanyuana

Huku utakuta zaid zaid tunapondana wenyewe kwa wenyewe
Sawa mkuu.
Huo ndo uzalendo wa kweli, ila kusiwe na upendeleo itaharibu mashindano.
Hilo la Yanga kufungwa na Simba haiwezekani kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Kura sio kigezo mi roho imeuma mpaka bac yaan mkenya kuchukua hizo hela ni dharau tosha.
Watu tumepiga kura za kutosha ili kijana wa Dodoma ashinde
Lkn tumechinjiwa baharini. Next time sipigi kura
Halafu watu wanasema mkenya kastahili kwa lipi!!?
Yaan watanzania leo wamenikera kweli.
Mi naamini hela kapewa mkenya kwa makusudi tuu ambayo hayatusaidii na kutetemekea wageni kama kawaida ya nchi yetu
 
Mashindano ya tusker project fame yamefanyika kenya mara zote na hakuna mkenya alieshinda labda kama kumbukumbu zangu hazipo sawa
Amewahi sana na haiwezekani wawe hawajahi kushinda
Ni bongo tuu ndio tunaweza andaa mashindano na kuwapa ushindi wenzetu.
 
Back
Top Bottom