Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Kura sio kigezo mi roho imeuma mpaka bac yaan mkenya kuchukua hizo hela ni dharau tosha.
Watu tumepiga kura za kutosha ili kijana wa Dodoma ashinde
Lkn tumechinjiwa baharini. Next time sipigi kura

Ukitanguliza dharau kama hivyo, hata mimi pia nimekudharau.
 
Mbona big brother ipo South Africa lakini Mshindi Anatoka Tanzania?? Kwanini wasimpendelee mwafrika kusini mwenzao
 
Yani huu ni uwazi usiopingika kina masoud mmeongozwa na Ile kitu mtaonekana wabaguzi yani mmempa ushindi mkenya sababu hiyo hiyo tu

Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi

Yani shindano lipo kwenye aridhi yetu na Kijana wetu kaonyesha kabisa anaweza ila hisia tu zimewaongoza mmempa ushindi mkenya

Kiukweli mmeboa
una lalamika halafu hata kura hujapiga....
 
Wabongo tunapofurahisha ni hapo tu kulalama bila kuwajibika.
Shindano limehusisha washiriki kutoka nchi za EA, hivyo any person had equal chance kuwa mshindi, lakini kwa vigezo yule mdada kashinda. Au mnadhani shindano lililenga mshindi lazima awe Mbongo.
Embu tutafakari, BBA inafanyika SA, washindi wangapi wametoka Bongo? Walipigiwa kura na Watz tu?
Hao mlotaka washinde mliwapigia kura?
Yule Dada miye tangu awali niliona dalili za kushinda, alikuwa ana juhudi, siyo mlalamishi, anajichanganya na kwa maoni yangu hakuwa mtu wa kufake life (japo sijui kama ndo vilikuwa ni vigezo).
Hongera kwake, kwa Kenya, kwa Azam Tv and Masoud for the job well done.
 
Yani huu ni uwazi usiopingika kina masoud mmeongozwa na Ile kitu mtaonekana wabaguzi yani mmempa ushindi mkenya sababu hiyo hiyo tu

Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi

Yani shindano lipo kwenye aridhi yetu na Kijana wetu kaonyesha kabisa anaweza ila hisia tu zimewaongoza mmempa ushindi mkenya

Kiukweli mmeboa

Wakenya wako juu kuliko watz
 
Kura sio kigezo mi roho imeuma mpaka bac yaan mkenya kuchukua hizo hela ni dharau tosha.
Watu tumepiga kura za kutosha ili kijana wa Dodoma ashinde
Lkn tumechinjiwa baharini. Next time sipigi kura
huyo wa dodoma uliyempigia kura kapata kura chache na huyo dada wa Kenya kura zake zimetosha hata mimi nimempigia kura.
tuchague watu kwa ufanisi wao na sio kwa nchi wanazotoka.
 
Sie Wabongo ni wabaguzi sana... kwenye tusker project fame wakenya uwa wanamshangilia kila mshiriki sasa njoo kwa wabongo wanamshangilia mbongo mwenzao
 
Naomba kujuzwa huyo mdada alieshinda ni Nani?je ni olive?kama ndie anastahili kabisa tena kabisa tuache porojo za kuleta upendeleo...hivi kwa nini tuishi kiujanjaujanja tu hata kama hatustahili?pia nakubaliana na wanaosema alex alistahili kushinda ila je mlimpigia kura?mara ngapi?wakati wewe unampigia ufikirii kuna wengine pia walikua wanampigia huyo mshindi?
 
Bado hujajibiwa kuwa ni nani ushaanza kuimba? Kama siyo yeye utaeleza nini?
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Ungefuatilia vizuri ungeshajua kuwa kuna la zaidi ya kukaa porini.
 
Leo tumeshuhudia kilichtke maisha plus mkenya kaondka na M 30 zake kiulainiiiiiiih
Tatzo linakuja hapa baada ya mchujo kupita then kuna kitu kinaitwa kupiga kura mwisho wa siku nchi jirani lazima washinde kwasababu ya upigaji wa kura
Kumbuka kwa Tz kuna washiriki wa kila mkoa so kila mkoa watajaribu kumpigia kura mtu wao ninachomaanisha kura zinagawanyika kila mtu kutokana na kundi lake
Kwa nchi za jirani lazima washinde kwa kigezo kua nchi nzima wanahimizana kumpigia kura mtu mmoja ama wawili wanaowakilisha nchi yao
Labda kama kuna mtu wakuniproce wrong aje lakn kwa namna hii hatutofka mbali na ukizingatia kura hazina limitation

GERANT LE GERANTEEH
Point! Upigaji kura lazima nchi ngeni ishinde maana kura za ndani zinagawanywa kimkoa. Pia ni watanzania wachache wenye access na azam tv, wangetumia tv yeneye watizamaji wengi mfano itv au tbc au clouds
 
Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya
Na kwanini wanainvolve nchi zingine? Ina maana hamna washindani wa kutosha tanzania?
 
Back
Top Bottom