Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe ulipiga kura mkuu?Labda tuanzie hapo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura sio kigezo mi roho imeuma mpaka bac yaan mkenya kuchukua hizo hela ni dharau tosha.
Watu tumepiga kura za kutosha ili kijana wa Dodoma ashinde
Lkn tumechinjiwa baharini. Next time sipigi kura
una lalamika halafu hata kura hujapiga....Yani huu ni uwazi usiopingika kina masoud mmeongozwa na Ile kitu mtaonekana wabaguzi yani mmempa ushindi mkenya sababu hiyo hiyo tu
Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi
Yani shindano lipo kwenye aridhi yetu na Kijana wetu kaonyesha kabisa anaweza ila hisia tu zimewaongoza mmempa ushindi mkenya
Kiukweli mmeboa
Yani huu ni uwazi usiopingika kina masoud mmeongozwa na Ile kitu mtaonekana wabaguzi yani mmempa ushindi mkenya sababu hiyo hiyo tu
Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi
Yani shindano lipo kwenye aridhi yetu na Kijana wetu kaonyesha kabisa anaweza ila hisia tu zimewaongoza mmempa ushindi mkenya
Kiukweli mmeboa
huyo wa dodoma uliyempigia kura kapata kura chache na huyo dada wa Kenya kura zake zimetosha hata mimi nimempigia kura.Kura sio kigezo mi roho imeuma mpaka bac yaan mkenya kuchukua hizo hela ni dharau tosha.
Watu tumepiga kura za kutosha ili kijana wa Dodoma ashinde
Lkn tumechinjiwa baharini. Next time sipigi kura
Bonge la point, waambie hao waache ukabila / ubaguziMbona big brother ipo South Africa lakini Mshindi Anatoka Tanzania?? Kwanini wasimpendelee mwafrika kusini mwenzao
Bado hujajibiwa kuwa ni nani ushaanza kuimba? Kama siyo yeye utaeleza nini?Naomba kujuzwa huyo mdada alieshinda ni Nani?je ni olive?kama ndie anastahili kabisa tena kabisa tuache porojo za kuleta upendeleo...hivi kwa nini tuishi kiujanjaujanja tu hata kama hatustahili?pia nakubaliana na wanaosema alex alistahili kushinda ila je mlimpigia kura?mara ngapi?wakati wewe unampigia ufikirii kuna wengine pia walikua wanampigia huyo mshindi?
hata uwe wewe Dada haijalishi issue ni kwamba tusitumie kigezo eti cha utanzania kupeana ushindiBado hujajibiwa kuwa ni nani ushaanza kuimba? Kama siyo yeye utaeleza nini?
Ungefuatilia vizuri ungeshajua kuwa kuna la zaidi ya kukaa porini.Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Point! Upigaji kura lazima nchi ngeni ishinde maana kura za ndani zinagawanywa kimkoa. Pia ni watanzania wachache wenye access na azam tv, wangetumia tv yeneye watizamaji wengi mfano itv au tbc au cloudsLeo tumeshuhudia kilichtke maisha plus mkenya kaondka na M 30 zake kiulainiiiiiiih
Tatzo linakuja hapa baada ya mchujo kupita then kuna kitu kinaitwa kupiga kura mwisho wa siku nchi jirani lazima washinde kwasababu ya upigaji wa kura
Kumbuka kwa Tz kuna washiriki wa kila mkoa so kila mkoa watajaribu kumpigia kura mtu wao ninachomaanisha kura zinagawanyika kila mtu kutokana na kundi lake
Kwa nchi za jirani lazima washinde kwa kigezo kua nchi nzima wanahimizana kumpigia kura mtu mmoja ama wawili wanaowakilisha nchi yao
Labda kama kuna mtu wakuniproce wrong aje lakn kwa namna hii hatutofka mbali na ukizingatia kura hazina limitation
GERANT LE GERANTEEH
Na kwanini wanainvolve nchi zingine? Ina maana hamna washindani wa kutosha tanzania?Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya
SubutuuuuuuuHivi hilo shindano linge andaliwa Kenya mbongo yeyote angeweza kubeba kweli!!? Nawaza tuu lakin
FuatiliaNdio basi tena .mkuu kwan wanafanyaga nn mpk unashinda coz naonaga wanakaa tu porin