Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

Wapolish wakarimu especially wanawake
Mimi nilikaaga huko Sema wakati huo
Walikuwa hawajiunga EU,Kulikuwa kugumu kdg mchanga wa chuma
Kwa sasa kuna afadhali
Kama unataka kwenda wee nenda tu
Maisha popote

Ova
 
Sijawahi fika ila nitachangia. Polish ni watu wagumu kiasi fulani, ni waumini yani ni mojawapo ya nchi pale Ulaya watu wana imani ya kidini zaidi. Poland ilikuwa na uchumi wa kawaida enzi za makaburu South Africa ilikuwa na uchumi na maisha mazuri kuliko Poland sababu walikuwa na mfumo wa kijamaa mpaka late 1980s ilipotokea matukio mengi kisiasa ikichangiwa na Papa John Paul II kutokea uko, ikaja Solidarity movement na mwishowe mageuzi ya kisiasa. Maendeleo yalianza kutokea ilipojiunga EU, ukiona nchi imeingia EU alafu ikazidi kuwa maskini basi hiyo ingekuwa Afrika ungekuwa msitu.
Ila kwa sasa wana uchumi unakua kwa kasi
 
Habari zenu wakuu !

Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha )

Asanteni wakuu!
Kuna ubaguzi sana, halafu kipolishi kigumu sana...
Labda kama ukienda kama football player
Kuna akina Joana huko unaweza otea

Kuna mitaa ukiwa Black utajuuta
 
Watu wa poland hawana tofauti na wajerumani yaani ni dry sana, visirani na hasa hasa ukiwa muislamu na mweusi ni shida sana nimewahi kuishi mji wa metropolis na krakow kiukweli ni shida sikushauri kwenda kwenye ya kijinga hiyo ya west europe
 
Back
Top Bottom