Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

Kutokana na historia ya Taifa lao.
1.Very proud people ( Nationalism & Racism).
2.Straightforwad, kama hamfahamiani.
3. Almost catholic Nation
4. Miji midogo watakushangaa kwa kuwa ni mweusi ( watu huchanganya hii na ubaguzi).
5. Lugha yao ni Ngumu.
Kama unaitwa Kurwa usiende.
 
Kuna mipaka fulani ina manyoya, macho ya blue wengine njano
Wengine weusi tupu wengine weupe
Paka linauzwa mpk mln 5 ya kibongo mzee
Hata bongo kuna waturuki fulani nawajua wako kibaha walitoa deal wanataka lipaka jeusi tupu aside na madoti,macho blue wakatoa offer ya mln 7,kna watu nliwapa deal hilo walienda mbio mpk wenyewe wakachemsha [emoji1]

Ova
Bila shaka mji wa hao watu ulikuwa na paka wengi sana
 
Kutokana na historia ya Taifa lao.
1.Very proud people ( Nationalism & Racism).
2.Straightforwad, kama hamfahamiani.
3. Almost catholic Nation
4. Miji midogo watakushangaa kwa kuwa ni mweusi ( watu huchanganya hii na ubaguzi).
5. Lugha yao ni Ngumu.
Kama unaitwa Kurwa usiende.
Yaani mkuu nimecheka hapo uliposema lugha yao ni ngumu kama unaitwa Kurwa usiende Poland. Nacheka hadi muda huu. Kweli kuna lugha za mstaifa ngumu Sana ikiwemo Polish na Finnish, pia Kituruki (Turkish) si mchezo kabisa. Ila kila kitu ni kukomaa tu mpaka utoboe.
 
Habari zenu wakuu !

Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha )

Asanteni wakuu!
Mji gani Mkuu Warszawa ama? Wapo hapa wakazi wa pale ambao ni members hapa JF siku nyingi
 
Hivi sambali bado yuko huko
Alikuwaga kiongozi wa jumuiya ya watanzania huko,mke wake alikuwa anafanya biashara ya kuuza paka
[emoji1]

Ova
Heshima kubwa sana kwa brother Sambali. Katupokea
 
Kwa suala la ubaguzi, ni wanaume ndio wabaguzi zaid kwa uzoefu wangu na wenye chuki na sisi ngozi nyeusi wakiona tunawanyandua dada zao. Ni hilo tu.
Hili la wanawake kunyanduliwa na sisi linawaumiza sana sio wa-Polisi bali ngozi nyeupe yeyote, iwe in eastern au western europe, na kote huko nina uzoefu nao, ukiwa karibu na wanawake/dada zao ngozi nyeupe, wanaume watakumind sana. ukweli ni kwamba hata dada zetu ngozi nyeusi, ukiwa na ngozi nyeupe wana-mind sana. lakini papuchi ni ile ile. Rigwaride lazima ushindilie tani yako kama unataka, lakini ukiwa unaogopa kelele za watu, basi kaa mbali na walimwengu.
 
Heshima kubwa sana kwa brother Sambali. Katupokea
Msalimie sana ....poland nyumbani huko
Sema wakati wetu tuko huko poland ilikuwa bado haijaingia EU mabaharia
Tulikuwa tunapaita mchanga wa chuma
Ila I hope you will enjoy na maisha ya huko kuna watu huko ni wakarimu San a

Ova
 
Yaani mkuu nimecheka hapo uliposema lugha yao ni ngumu kama unaitwa Kurwa usiende Poland. Nacheka hadi muda huu. Kweli kuna lugha za mstaifa ngumu Sana ikiwemo Polish na Finnish, pia Kituruki (Turkish) si mchezo kabisa. Ila kila kitu ni kukomaa tu mpaka utoboe.
😂😂😂
Usije ukashangaa kila ukijitambulisha wanacheka.
 
Rais wa Poland, Andrzje Duda anakuja kupiga ubuyu na Chief Hangaya mwezi February.... Usikose kwenye National Anthem. 😎
 
Back
Top Bottom