Ubaguz uko kila mahala na haukwepeki,sema lazima ujuwe namna ya kudeal na mtu mbaguzi
Na ni kumpuuza
Nlipokuwa huko kuna sehemu kulikuwa na kamgahawa,walikuwa wanauendesha mama na baba wa kupolish yule mama alikuwa hana noma,ila baba alikuwa mbaguzi
Alikuwa anachukulia kama watu wa ovyo
Kuna siku tukawa tunazungumza akawa anasema mmetoka wapi,nkamjibu tz akawa kama anajifanya haijui
Nkampa darasa nkamwambia mbona nyie tz mpo wengi tu na mlikujaga wakati wa vita ya 2 dunia mlikimbia wa nazi huko na mkapewa sehemu maalum mkawamnaishi akabaki anashangaa
Ova