Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

Sijawahi fika ila nitachangia. Polish ni watu wagumu kiasi fulani, ni waumini yani ni mojawapo ya nchi pale Ulaya watu wana imani ya kidini zaidi. Poland ilikuwa na uchumi wa kawaida enzi za makaburu South Africa ilikuwa na uchumi na maisha mazuri kuliko Poland sababu walikuwa na mfumo wa kijamaa mpaka late 1980s ilipotokea matukio mengi kisiasa ikichangiwa na Papa John Paul II kutokea uko, ikaja Solidarity movement na mwishowe mageuzi ya kisiasa. Maendeleo yalianza kutokea ilipojiunga EU, ukiona nchi imeingia EU alafu ikazidi kuwa maskini basi hiyo ingekuwa Afrika ungekuwa msitu.
Ila kwa sasa wana uchumi unakua kwa kasi
Asante mkuu kwa mchango mzuri. Umeongeza kitu
 
Kuna ubaguzi sana, halafu kipolishi kigumu sana...
Labda kama ukienda kama football player
Kuna akina Joana huko unaweza otea

Kuna mitaa ukiwa Black utajuuta
Hiyo hali nlikutana nayo sana

Ila walipoingia kwenye shengen

Kdg kuna mabadiliko,nlikuwaga na mwana mmoja huko anaitwa smbdy j .sura....ni lecture yupo DIT pale sahv
Ubaguzi huko alipigwa mpaka alikuwa analia....
Ila ss wengine tulikuwa mabaharia ile ilikuwa sehemu ya kutafuta kutokea
Ndipo mwamba nkaingia dkk(denga)
Kwa mbinde
Wapolish wenyewe ulaya walikuwa wanaonekana vishoka,maana wakienda kwenye malipo yao wanafanya chini sema wanapiga kazi sana

Ova
 
Ukitaka kuitwa nyani hadharani nenda hizo nchi za eastern Europe hapafai wale ni masikini wakiona mgeni wanajua kaenda kuchukua kazi zao !!! Kama unaikumbuka wakati vita ya Ukraine na urusi ilipoanza uliona wakati watu wameingia kwenye train kuelekea Poland namna polisi wa Poland walivyowafurusha waafrika kutoka katika treni!??
 
wasomi wetu wengi zamani wamesoma Poland hata na Russia pamoja na Republic of Check
 
wasomi wetu wengi zamani wamesoma Poland hata na Russia pamoja na Republic of Check
Yah jamaa alikuwa vzr sana wao wenzetu walikuwa John kisomo
Sisi wengine ndy wazee wa dili tu huko
Na ukisoma hizo nchi umesoma kweli
Na wapolish kwenye elimu ya ujenzi wako vzr sana sana
Alikuwepogi mtnz mmja hko anaitwa Edwin bwire naye alirudigi tz alikuwa anaiwakilisha kampuni moja ya wapolish bongo,alikuwa vzr kichwan
Alifia bongo,wapolish walikomalia
Mwili wake akazikwe poland
Na waliuchukua mwili wake,
rip bwire

Safi sana mtaalamu.. Nipo mbugani hapa huku mlimani.. hatari shekheee... 😅😅😅
 
hapa umeomgea sasa mtaalamu..
kazi sana , nyama kidogo
Nimekusoma point zako.. maisha yanawezekana kabisa.. ubaguzi sio issue kubwaa maana hata sie wenyewe huku tunabaguana sana
Ubaguz uko kila mahala na haukwepeki,sema lazima ujuwe namna ya kudeal na mtu mbaguzi
Na ni kumpuuza
Nlipokuwa huko kuna sehemu kulikuwa na kamgahawa,walikuwa wanauendesha mama na baba wa kupolish yule mama alikuwa hana noma,ila baba alikuwa mbaguzi
Alikuwa anachukulia kama watu wa ovyo
Kuna siku tukawa tunazungumza akawa anasema mmetoka wapi,nkamjibu tz akawa kama anajifanya haijui
Nkampa darasa nkamwambia mbona nyie tz mpo wengi tu na mlikujaga wakati wa vita ya 2 dunia mlikimbia wa nazi huko na mkapewa sehemu maalum mkawamnaishi akabaki anashangaa

Ulimchana vizuri.

Nasikia walikuwa kibao huko IRINGA wakapewa na mashamba ya kulima.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuitwa nyani hadharani nenda hizo nchi za eastern Europe hapafai wale ni masikini wakiona mgeni wanajua kaenda kuchukua kazi zao !!! Kama unaikumbuka wakati vita ya Ukraine na urusi ilipoanza uliona wakati watu wameingia kwenye train kuelekea Poland namna polisi wa Poland walivyowafurusha waafrika kutoka katika treni!??
ubaguzi sio issue sana kwangu, kawaida kabisa.
 
Hujui ubaguzi wewe unausikua radioni!!?
Kuna mahali unaenda hata nyumba ya kupanga hupati kisa wewe ni mwafrika!! Kuna mahali unaenda unaingia kwenye basi wazungu wanashuka!!! Acha na ubaguzi aiseee
mkuu, nae kuambia ubaguzi haunipi shida ni mie, hujui maisha yangu kabla.. huenda nimeisha baguliwa zaidi .. hadi nakuambia hivyo naelewa nachosema
 
Eeeh wakati huku TZ paka tunapeana bure tu
Kuna mipaka fulani ina manyoya, macho ya blue wengine njano
Wengine weusi tupu wengine weupe
Paka linauzwa mpk mln 5 ya kibongo mzee
Hata bongo kuna waturuki fulani nawajua wako kibaha walitoa deal wanataka lipaka jeusi tupu aside na madoti,macho blue wakatoa offer ya mln 7,kna watu nliwapa deal hilo walienda mbio mpk wenyewe wakachemsha [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom