National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Mtoto halali na hela shushaa uzoefu wako.. nasikia umeishi kila pahalaaa.. aunt Bantu Lady hajambo mkuuWanakuja
hakika mkuu. Nasubiri subiri nipate dondoooNational anthem kwa kiswahili ni wimbo wa taifa jokes [emoji38] wenye exposure na life ya Poland wanakuja....
Sijawahi fika huko nina marafiki wa huko tu, Bantu Lady atakua buheri wa afyaMtoto halali na hela shushaa uzoefu wako.. nasikia umeishi kila pahalaaa.. aunt Bantu Lady hajambo mkuu
VP mkuu umepata connection unikonect na mi nikalambe asali polandhakika mkuu. Nasubiri subiri nipate dondooo
Marafiki wako wa huko hajajiunga JF π π πSijawahi fika huko nina marafiki wa huko tu, Bantu Lady atakua buheri wa afya
Subiri kidogoo kwanzaaa tupate ABC za hukoVP mkuu umepata connection unikonect na mi nikalambe asali poland
Poa chifuSubiri kidogoo kwanzaaa tupate ABC za huko
Hapana ni wazawa wa huko PolandMarafiki wako wa huko hajajiunga JF π π π
Hivi sambali bado yuko hukoHapana ni wazawa wa huko Poland
Paka pussiHivi sambali bado yuko huko
Alikuwaga kiongozi wa jumuiya ya watanzania huko,mke wake alikuwa anafanya biashara ya kuuza paka
[emoji1]
Ova
Kuna ubaguzi sana, halafu kipolishi kigumu sana...Habari zenu wakuu !
Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha )
Asanteni wakuu!
Ndiyo paka pussyPaka pussi
Ubaguzi sio issue sana.. Umewahi kuishi ( kufanya kazi au kusoma ? ).. Lugha unakomaa tuKuna ubaguzi sana, halafu kipolishi kigumu sana...
Labda kama ukienda kama football player
Kuna akina Joana huko unaweza otea
Kuna mitaa ukiwa Black utajuuta
watakuwa mademu tu, maana kuna vi chick vizurii πππHapana ni wazawa wa huko Poland