Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,210
Reaction score
6,774
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.

Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha wakajenga apartments nyingi na kupangisha? Nmeona wengi hata magari wanashindwa kumiliki utawaona wanaendesha Subaru, Toyota na Nissan.

Jana nimepita huko na LEXUS 2025 hii imetoka mwaka 2025/04/01 Kiwandani watu walikuwa wananishangaa. Ni ligari kubwa kama unavyoliona lile GMC langu au Escalade ya 2025/01 . Watu wakawa wanachukua video wanaoneshana kuwa Tajiri anapita.

Moyoni nikasema tu hawa maskini wanaona gari ya Billion 1.8 nayo ni gari? Mimi wakati nasema ngoja nitumie gari ambayo haitafanya watu wanione kama nina pesa.nijichanganye tu na walalahoi. Wao wanashangaa..

Hii gari ni Smart SUV Unaweza amua fanya kazi zako ikajiendesha tu yenyewe bila dereva. Au ukaamua kulala. Ukisha i command tu nipeleke sehemu flani basi. Unaiacha. Mpaka inapark ndo inakuambia "We have arrived at the Destination X"

Elon Musk aliweka Technology yake humu kwa matrilions ya pesa ambayo alilipwa. Hizi gari zipo chache sana Duniani. Wanasema hazijazidi 30. Na kwa watu maalum. Ambazo zimekuja Afrika ni 3 tu basi.

Anyway nmesikitika sana na hali ya mazingira ya watu wanayoishi hayo maeneo. Inaumiza sana. Sojajua kwa nini Serikali isikubali watu tuwekeze. Nlikuwa na meetings huko Ulimwenguni na watu wenye akili.walishauri sana kuwekeza kwenye ujenzi.
 
Wenzako wako Mirembe vp umetoroka nini?
 
Kuna movie inaitwa LOCKED ya mwaka huu. Mule ndani kuna SUV smart balaa. Asee mtu ukiwa na pesa una-order utengenezewe ndinga kama ile.
All in all, huu uzi bila picha ni nonsense.
Camera ya tajiri ni mbovu
 
Back
Top Bottom