Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.

Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha wakajenga apartments nyingi na kupangisha? Nmeona wengi hata magari wanashindwa kumiliki utawaona wanaendesha Subaru, Toyota na Nissan.

Jana nimepita huko na LEXUS 2025 hii imetoka mwaka 2025/04/01 Kiwandani watu walikuwa wananishangaa. Ni ligari kubwa kama unavyoliona lile GMC langu au Escalade ya 2025/01 . Watu wakawa wanachukua video wanaoneshana kuwa Tajiri anapita.

Moyoni nikasema tu hawa maskini wanaona gari ya Billion 1.8 nayo ni gari? Mimi wakati nasema ngoja nitumie gari ambayo haitafanya watu wanione kama nina pesa.nijichanganye tu na walalahoi. Wao wanashangaa..

Hii gari ni Smart SUV Unaweza amua fanya kazi zako ikajiendesha tu yenyewe bila dereva. Au ukaamua kulala. Ukisha i command tu nipeleke sehemu flani basi. Unaiacha. Mpaka inapark ndo inakuambia "We have arrived at the Destination X"

Elon Musk aliweka Technology yake humu kwa matrilions ya pesa ambayo alilipwa. Hizi gari zipo chache sana Duniani. Wanasema hazijazidi 30. Na kwa watu maalum. Ambazo zimekuja Afrika ni 3 tu basi.

Anyway nmesikitika sana na hali ya mazingira ya watu wanayoishi hayo maeneo. Inaumiza sana. Sojajua kwa nini Serikali isikubali watu tuwekeze. Nlikuwa na meetings huko Ulimwenguni na watu wenye akili.walishauri sana kuwekeza kwenye ujenzi.
Tajiri tulikumiss...welcome back
 
Aya bhanaa
 
Mkuu,
Hongera kwa kurejea huku dunia ya 3.
Nadhani kutoonekana kwako hapa jamvini kunatokana na vikao vingi ulivyokuwa ukifanya na akina D Trump ukimshauri namna ya kukabiliana na tishio la kiuchumi kutoka kwa nchi ya China.
 
Wenzako wako Mirembe vp umetoroka nini?
Sikuizi milembe iko magogoni ikulu jamaa apelekwe akapewe mkataba kama ya lugumi ...akapewe mkataba na yule daktari wa amazon mwenye phd za kuchambia alizopewa na waarabu kwa kulipa Ada ya bandari za watanganyika.
 
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.

Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha wakajenga apartments nyingi na kupangisha? Nmeona wengi hata magari wanashindwa kumiliki utawaona wanaendesha Subaru, Toyota na Nissan.

Jana nimepita huko na LEXUS 2025 hii imetoka mwaka 2025/04/01 Kiwandani watu walikuwa wananishangaa. Ni ligari kubwa kama unavyoliona lile GMC langu au Escalade ya 2025/01 . Watu wakawa wanachukua video wanaoneshana kuwa Tajiri anapita.

Moyoni nikasema tu hawa maskini wanaona gari ya Billion 1.8 nayo ni gari? Mimi wakati nasema ngoja nitumie gari ambayo haitafanya watu wanione kama nina pesa.nijichanganye tu na walalahoi. Wao wanashangaa..

Hii gari ni Smart SUV Unaweza amua fanya kazi zako ikajiendesha tu yenyewe bila dereva. Au ukaamua kulala. Ukisha i command tu nipeleke sehemu flani basi. Unaiacha. Mpaka inapark ndo inakuambia "We have arrived at the Destination X"

Elon Musk aliweka Technology yake humu kwa matrilions ya pesa ambayo alilipwa. Hizi gari zipo chache sana Duniani. Wanasema hazijazidi 30. Na kwa watu maalum. Ambazo zimekuja Afrika ni 3 tu basi.

Anyway nmesikitika sana na hali ya mazingira ya watu wanayoishi hayo maeneo. Inaumiza sana. Sojajua kwa nini Serikali isikubali watu tuwekeze. Nlikuwa na meetings huko Ulimwenguni na watu wenye akili.walishauri sana kuwekeza kwenye ujenzi.
Nimechekaje!

Kumbe SUBARU siyo gari! Pole yao watu wa Masaki!
 
Huko inasemekana wanaishi matajiri ila barabara zao mashimo,matope yaani vurugu vurugu

Ova
 
Hakuna tajiri mwenye mwandiko mrefuu hivi over
Hautaki au kama kuna shido jinyonge kwa kamba ya buibui,
Kiufupi tajiri Bill hana baya labda kama wewe ni mgeni hapa JF sisi wa huku Oysterbay tunamjua vena tajiri letu a.k.a Kiduku Lilo mara ya mwisho nilimwona live 2020 aki drive Ford ranger yake new model viunga vya Haile Sellasie road karibu na Colosseum Hotel
😂😂😂
 
Hongera
 
Kidukulilo on the track.....here we go.....one.....two.......threeeeeeeeeeeeeeee
.......pwaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh
 
Back
Top Bottom