Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

Sawa boss ahsante kwa taarifa... SUV mnazo watatu africa.
Tuambie yale mawili yanamilikiwa na nan hapa africa.

Mim namilik BM 150, ila sijawah waona maskin au kuwaita hivo, ambao hawana ata baiskel.

Upo hivi..
  • unadharau(umewadharau wa tz wenzio). Kama unajiweza wasaidie wainuke kiuchum
  • mdhurumaji(hapo umesema kwanin selikal isiwaondoke pale ijenge apartment)

HAUFAI
 
😂😂😂🤣🤣🤣🙌 kesho nenda kaombe kibali ubomoe zile slums za masaki na mbweni, ujenge nyumba za kueleweka,...
 
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.

Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha wakajenga apartments nyingi na kupangisha? Nmeona wengi hata magari wanashindwa kumiliki utawaona wanaendesha Subaru, Toyota na Nissan.

Jana nimepita huko na LEXUS 2025 hii imetoka mwaka 2025/04/01 Kiwandani watu walikuwa wananishangaa. Ni ligari kubwa kama unavyoliona lile GMC langu au Escalade ya 2025/01 . Watu wakawa wanachukua video wanaoneshana kuwa Tajiri anapita.

Moyoni nikasema tu hawa maskini wanaona gari ya Billion 1.8 nayo ni gari? Mimi wakati nasema ngoja nitumie gari ambayo haitafanya watu wanione kama nina pesa.nijichanganye tu na walalahoi. Wao wanashangaa..

Hii gari ni Smart SUV Unaweza amua fanya kazi zako ikajiendesha tu yenyewe bila dereva. Au ukaamua kulala. Ukisha i command tu nipeleke sehemu flani basi. Unaiacha. Mpaka inapark ndo inakuambia "We have arrived at the Destination X"

Elon Musk aliweka Technology yake humu kwa matrilions ya pesa ambayo alilipwa. Hizi gari zipo chache sana Duniani. Wanasema hazijazidi 30. Na kwa watu maalum. Ambazo zimekuja Afrika ni 3 tu basi.

Anyway nmesikitika sana na hali ya mazingira ya watu wanayoishi hayo maeneo. Inaumiza sana. Sojajua kwa nini Serikali isikubali watu tuwekeze. Nlikuwa na meetings huko Ulimwenguni na watu wenye akili.walishauri sana kuwekeza kwenye ujenzi.
Shit
 
Crap..!!
Unaugua vibaya sana, and on top of that, wewe ni mjinga uliyepitiliza, mentally and physically poor..!!
 
Anyway nmesikitika sana na hali ya mazingira ya watu wanayoishi hayo maeneo. Inaumiza sana. Sojajua kwa nini Serikali isikubali watu tuwekeze. Nlikuwa na meetings huko Ulimwenguni na watu wenye akili.walishauri sana kuwekeza kwenye
Aaa...tajiri kama tajiri....😂😂😂😂 Ulimissiwa sana humu
 
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.

Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha wakajenga apartments nyingi na kupangisha? Nmeona wengi hata magari wanashindwa kumiliki utawaona wanaendesha Subaru, Toyota na Nissan.

Jana nimepita huko na LEXUS 2025 hii imetoka mwaka 2025/04/01 Kiwandani watu walikuwa wananishangaa. Ni ligari kubwa kama unavyoliona lile GMC langu au Escalade ya 2025/01 . Watu wakawa wanachukua video wanaoneshana kuwa Tajiri anapita.

Moyoni nikasema tu hawa maskini wanaona gari ya Billion 1.8 nayo ni gari? Mimi wakati nasema ngoja nitumie gari ambayo haitafanya watu wanione kama nina pesa.nijichanganye tu na walalahoi. Wao wanashangaa..

Hii gari ni Smart SUV Unaweza amua fanya kazi zako ikajiendesha tu yenyewe bila dereva. Au ukaamua kulala. Ukisha i command tu nipeleke sehemu flani basi. Unaiacha. Mpaka inapark ndo inakuambia "We have arrived at the Destination X"

Elon Musk aliweka Technology yake humu kwa matrilions ya pesa ambayo alilipwa. Hizi gari zipo chache sana Duniani. Wanasema hazijazidi 30. Na kwa watu maalum. Ambazo zimekuja Afrika ni 3 tu basi.

Anyway nmesikitika sana na hali ya mazingira ya watu wanayoishi hayo maeneo. Inaumiza sana. Sojajua kwa nini Serikali isikubali watu tuwekeze. Nlikuwa na meetings huko Ulimwenguni na watu wenye akili.walishauri sana kuwekeza kwenye ujenzi.
Umerudi kijana. Za miaka mingi?
 
Huyu tukimwahi anapona. Shida yake inaonekana sio kubwa sana.
 
Back
Top Bottom