Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Ndugu Naomba nije pm kama hutojali
 
Pia wazawa awapendi Kazi zaidi ya pombe na ngono na hivi havipatikani bure.
South african hawana tofauti na black american wote Wana characters moja.
Hii kitu Huwa sielewi
Na wengine wanasema watanzania wavivu!
Au mtu ni mvivu akiwa kwao,akitokea anapiga kazi?

Ila mi Kwa ninaowafahamu wanapiga kazi!
 
Kumbee🤔🤔
Asante
 
Yani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!

Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...

Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
Kwakweli 🤣
 
Hahaaaa
Nakusoma
Maana wanatutisha jmn🤝
 
Aiseer
Ndo maana Ile ajali ya moto ya juzi kati hapa ,nilishangaa eti Yale magorofa yalitelekezwa wanaishi humo ni wageni na wazawa wasio na makazi maalumu🤔

Mmh
 
Makubwa
Kumbe Bado sijaona na kusikia 🤔🙌🙌
 
Aiseee🤔
Hao unawajua
Tena eneo Moja,na kwingine je?
Now I understand
 
Wnatakiwa wapate rais km the late Magu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…